"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Dona kantre huna hata kiwanda Cha kutengeneza pini.
Kifuatacho ni kupunguza kazi madaktari, manesi na watu wa maabara na kuajiri waganga was kienyeji, wachawi, wabashiri na wapiga ramli.
View attachment 1626014
Wewe ulitkiwa ujiite ujiuji coz untumia ur back kufikiria.. uwezi dharau dawa asili... Mimi ni vetenarian even sisi tunatumi herbal drugs kutibia wanyama sembuse human
Mm naamin hata mama yako ww litumi majani ya mashona nguo kukutibia chango la utoto......
 
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.

Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.

Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.

Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary

There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade

Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
Nani kakwambia tunategemea misaada ya chakula sisi sio Somalia na Syria
 
Hamchoki na ujinga wenu?
Kila siku vi taarifa vya kijingakijinga mna amka navyo asubuhi, huwa mnaona raha gani?
Alafu mnajifanya yakitokea nyie mtakuwa mnaishi huko marekani wakati tabu utaipata wewe mwenyewe.

Magufuli na familia yake na sereikari wataendelea kukukamua na kula pesa yako huku wewe uko hoi, toka 2016 mna waza vikwazo tuu, kama unavipenda si ujiwekee kwako?
 
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.

Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.

Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.

Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary

There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade

Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
Hivi bado hawajatuelewa tu kwamba Watanzania tumeisha Gundua misaada yao ni mojs ya chanzo cha ugundu/kuonesha hatuwezi/kutuonesha tuamini Mzungu ni kilakitu/tuamini Kila kitu bora lazima kizaminiwe na Mibeberu now tumeisha stuka haswa baada ya kuwagundua mbinu yao iliwakuibie vizuri wanakuteka kwa vitu vifuatavyo-:

1. Misaada isiyo na mashariti makubwa - Kumbe ni mbinu ya kuwapumbaza kufikilia. Wewe ukitaka kuamini nenda kampatie zawadi ya Gari unayemtongoza uone kama kila utakachomweleza atakukatalia. Utajikuta akikwambia dume zima Olewa na wewe unakubali kuolewa Mfano Mwelekeo wa sera ya Tundu Lissu na Zitto Kabwe.

2. Haki za Binadamu- Wao kuamini haki za Binadamu ni kufuata mila na desturi za Wazungu, lakini ukifuata na mila na desturi za kiafrika. Kama ni kiongozi utaitwa hauheshimu haki za Binadamu. Lengo lao ni kama sera yao ya ukipigwa shave la kushoto mgeuzie na la kulia wakiwa wanamaana wakituibia tuwaongezee na vingine. Huu ndo sehemu ya upuuzi wa wanaoitwa Haki za Binadamu.

3. Demokrasia: Wameumbuka USA nao wamegundua Mfumo wa Demokrasia waliukosea. Nakumbuka wao ndiyo waasisi. Na kila ambaye hafanyi kama Mmarekani anaitwa Dictator shame on you Marekani. Mpaka saizi Wachina wanawaita hivyo. Lakini Mchina amefanikiwa kimaendeleo baada ya kukataa kuendeshwa na mila na desturi za kimarekani.
N.k
 
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.

Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.

Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.

Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary

There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade

Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
Sawa wacha waanze tu ila tutaekewana BAADAYE
 
( albaqarah : 8-20 ) Nifaq Mungu ndie mjuzi wa yaliyo mioyoni mwa watu. Usitumie dini kutukana watu, wewe jenga hoja tu bila kuihusisha dini yetu. Usichanganye siasa zako na dini yetu. Uislamu ni dini iliyokamilka na ni dini ya washindi, sio dini ya wanafiki wanaoitumia kwa ajili ya kushinda hoja. Kaa mbali na uislamu kama una jazba za kisiasa.
Akhi mimi sio mwanasiasa wala situmii dini kutetea wala kubeza mtu
Sisi wazanzibari haswa wapemba ni wahanga wa dhulma kama walivyokua Wakurdi wakati wa Sadam au Bangazi wakati wa Gaddafi lakini mwisho wao umeuona
Sisi ni walewale wakati wa jakaya na wakati wa Magafool
Mbona wakati wa jakaya hatujazika hata paka lakini makafiri wanatuua na kututesa sana?
Allah ni mjuzi wa yalio moyoni na Sisi tunaona yalio dhahir
Sisi ni maskini hatuna uwezo wa kujihami dhidi ya Magafool na Shari Zake
Tunamuomba Allah atukinge nae.
Albashir mara baada ya kuwekwa chini ya ulinzi na wanajeshi aliowateua mwenyewe alisema mara tatu....
HII NI KWA AJILI YA DUA ZA NILIOWADHULUMU X3
Kuna kiongizi watu hawataki kumshauri kila anachofanya wanapiga makofi
Muda utasema tu..
 
Napenda tuwekewe vikwazo sababu watakao umia zaidi ni mashabiki wa ccm ndio hapo watapokumbuka kuingia barabarani kudai haki zao uhuru hauwezi patikana kwa mazingira mepesi chadema tunajimbua sana na ndio walipa kodi nchi hii n
nitafurahi sana hili jambo likitokea nitachinja hata mbuzi kupoza machungu yangu ya kuibiwa kura zetu kwenye uchaguzi huu
 
Wacha tunyooshwe maana dhuluma na ukatili vimezidi.
Upewe na mimba kabisa,
Nadhani umli wako bado mdogo na unategemea chakula kutoka kwa shemeji yako mme wa dadako,
Siku nae akikosa pesa ya matumizi kutokana na vikwazo ndio utajuta kuandika ujinga humu
 
Nukuu zote hapa ni nukuu za upinzani, sijaona chochote ambacho serikali ya CCM imeulizwa ikataa kujibu. Unapata picha mwadishi ni nani na anakusudia gani.

Hata hivyo hakuna sheria inayolazimisha nchi moja isaidie nchi nyingine, kila nchi duniani inatoa misaada vile inavyona bajeti yake zimekaaje.
Ni muda wa waimba mapambio kujitokeza na kujibu,huja hizi kama amvavyo mmekuwa mkifanya siku zote,kabla muda hauja waacha.
 
Akhi mimi sio mwanasiasa wala situmii dini kutetea wala kubeza mtu
Sisi wazanzibari haswa wapemba ni wahanga wa dhulma kama walivyokua Wakurdi wakati wa Sadam au Bangazi wakati wa Gaddafi lakini mwisho wao umeuona
Sisi ni walewale wakati wa jakaya na wakati wa Magafool
Mbona wakati wa jakaya hatujazika hata paka lakini makafiri wanatuua na kututesa sana?
Allah ni mjuzi wa yalio moyoni na Sisi tunaona yalio dhahir
Sisi ni maskini hatuna uwezo wa kujihami dhidi ya Magafool na Shari Zake
Tunamuomba Allah atukinge nae.
Albashir mara baada ya kuwekwa chini ya ulinzi na wanajeshi aliowateua mwenyewe alisema mara tatu....
HII NI KWA AJILI YA DUA ZA NILIOWADHULUMU X3
Kuna kiongizi watu hawataki kumshauri kila anachofanya wanapiga makofi
Muda utasema tu..
Wewe ulipoingia msikitini kukata watu na mapanga ulikuwa umetumwa na nani?
Je aliyekuwa amekutuma alikuwa kafiri?
Kiweni na adabu basi, kama wewe na uzao wa muomani aondoka uende omani kwa bbi zako.
 
Unauhakuka na unayoyasema?
Anyways siwezi kusema kitu maana wewe hujapata madhara kutoka askari wa Burundi ila hata Gaddafi alikua na watu wanaompongeza kwa dhulma na mwisho upo
Mimi sitoki Oman hata kama ningekua natoka huko Ndio unichukie kiasi cha kufurahia dhulma tunazofanyiwa?
Kuna watu wengine wamepandikizwa chuki zidi ya Wazanzibari mpaka inatisha
Pole sana
 
Sasa mbona kama umefurahia badala ya kusikitika. Unafikiri nani atakomoka?
Wakati yeye anasikitikia mabegi ya Kura mliyopeleka kwenye vituo wewe ulikuwa unarukaruka na fulana yako ya kijani sasa muda huu ni zamu ya mleta mada kufurahia
 
Mikwara ya mabeberu tu hiyo hakuna lolote Dr. Magufuli songa mbele baba hawa mbwa wanao bwaka bwaka hawawezi kutuzuia kwa lolote kama alivyosema gwajima hatuhitaji mapesa yao sisi bana labda wazuie hakuna kuuza nje au kununua kitu nje hapo nitaogopa sana.
Unajua mfuko wa cement umefika bei gani!? au hauna umuhimu kwa vile unaishi kwa dadaako
 
Wakati yeye anasikitikia mabegi ya Kura mliyopeleka kwenye vituo wewe ulikuwa unarukaruka na fulana yako ya kijani sasa muda huu ni zamu ya mleta mada kufurahia
Kwahiyo abafuraia nn sasa
 
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.

Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.

Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.

Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary

There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade

Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
Marekani kasahau kua Dunia imebadilika,yeye siyo Super power peke yake, na hana uwezo wa kupangia Mataifa mengine Nini Cha kufanya! Mambo ya kuchaguliana marafiki au maadui yalishwa pitwa na Wakati!!
 
Mbona wachina wanaweza, mpaka kuna ma professor wa dawa mbadala. Kwani dawa za wazungu wanatumia nini kuzitengeneza kama sio miti shamba?
Angalia ujinga kama huu hapa.
Huyu naye kasoma hadi chuo kikuu na bado anafikiri hivi! "Miti shamba ndizo zinatoa dawa za wazungu"!

Leo hii tafuta hata dawa moja muhimu inayotokana 'moja kwa moja' na miti shamba; bado tunaishi karne ya kumi na nane huku wenzetu wamejizatiti na 'biotechnology', 'pharmacogenomics', 'genetic engineering' n.k.?

Ukisikia ushamba hakuna unaozidi walionao viongozi wa nchi sasa hivi. Tutalipa gharama kubwa kwa ushamba wao huu.
 
Angalia wanalochukia

View attachment 1626020

Wanachukia Tanzania kuanza kujijenga upya kitaifa, wanataka tuendelee kuwa shamba la bibi. Halafu kuna watanzania wanashangilia; watu wa hovyo sana hawa.
Wajinga kama wewe walikuwapo Zimbabwe ya Mugabe kujidai wanaweza leo hii wapi....acheni kumuongea wehu jamaa yenu...mpaka sasa. Amesharibu nchi
 
Mkuu Bujibuji , asante kwa makaribisho,
kwanza hakuna chama cha Msukuma, wala chama cha mtu, kilichopo ni Chama Cha Mapinduzi, CCM, ila kinaongozwa na Msukuma na sio kinamilikiwa na Msukuma hadi ukiite chama cha Msukuma!. One good thing kuhusu Msukuma huyu, tangu ashike uongozi wa chama, amekifanyia chama some very big transformation sasa chama kinapendwa na kinakubalika na Watanzania na hili wamelionyesha tarehe 28 October.

Tukija kwenye mada ya msingi, Hawa mabeberu wa US na EU tumeisha wazoea, tuliisha toa ushauri siku nyingi kwa Msukuma, on how to go about this.

P
Transformation yakutembea na mabegi ya Kura zilizopigwa! usikate tamaa mavyeo yakomengi this time utakumbukwa
 
Back
Top Bottom