Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Serikali ya awamu ya tano, imerudisha neno beberu lililotumiwa na mwalimu wakati wa harakati za ukombozi wa Afrika.
Baada ya kupata uhuru tukawaita "wakoloni" haijalishi mtu huyo alitutawala ama la.
Wakoloni ni " waingereza, reno, Belgiji, Jerumani, Waarabu"
MAGUFULI ameanza kuita WAZUNGU "mabeberu" na kujenga chuki dhidi yao huku watoto waliozaliwa miaka ya 2000 wakiamini wazungu ndio wametuletea umaskini ilhali CCM na majambazi wake ndio wametuletea huo.
Kama kuna mtu ana guts za kuita wanadamu wenzake "mabeberu" -limbuzi dume linyonyaji kwa majike na lisilojali wenzake basi nao wazungu wana haki ya kumuita huyo mtu "sokwe" kwa maana tabia zake hazina tofauti na sokwe!
tuchunge ndimi zetu, what goes ariund comes around!