Mabeberu? Rais Magufuli ameiathiri Serikali yake na ijayo

Mabeberu? Rais Magufuli ameiathiri Serikali yake na ijayo

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Kwasasa ni wazi rais wetu John Joseph Pombe Magufuli ameamua kula sahani moja na mabeberu.

Ukweli ni kwamba kwa sasa hatuwaamini na hawatuamini tena.

Mwisho wa yote ni hitimisho la uongozi wa Rais wetu.

Kila anaeitegemea Serikali ajiandae kwa miaka 8 mpaka 9 kutoka Sasa mpaka kurudia pale alipoachia JK.

Jipangeni kiuchumi mpaka JPM astaafu maana hakuna namna tunazidi kuwaudhi hao ambao tunawategemea.


Superbug.
 
Kimsingi it is no longer at ease !!
 
Mabeberu/mabepari(capitalist)....watu wanatuona waAfrika ni fursa kwao.
Tusijidanganye eti mzungu anatupenda sisi waAfrica hata siku moja. Enzi za utumwa sisi kwao ni mboga tu, wanatutumia wanavyotaka wao.
 
Huwezi kua na urafiki na mifumo ya kizungu na China, wote ni wezi Kwa maslahi ya nchi zao.
Hatuhitaji urafiki nao, tunahitaji kufanyiana timing. Hilo halijaanza leo, ni toka enzi za tawala za koo na falme.
NB: mfumo wa kibepari unatumia kanuni ya ...,...mpe deni ...utajirike.
Tangu enzi za ukolon Africa tunapewa deni kuwatajirisha, niwakati sasa wa kua na Maraisi wanaogoma kupewa deni, Kama Raisi wako. (Debt and get credited)
 
Kwasasa ni wazi rais wetu John Joseph Pombe Magufuli ameamua kula sahani moja na mabeberu.

Ukweli ni kwamba kwa sasa hatuwaamini na hawatuamini tena.

Mwisho wa yote ni hitimisho la uongozi wa Rais wetu.

Kila anaeitegemea Serikali ajiandae kwa miaka 8 mpaka 9 kutoka Sasa mpaka kurudia pale alipoachia JK.

Jipangeni kiuchumi mpaka JPM astaafu maana hakuna namna tunazidi kuwaudhi hao ambao tunawategemea.


Superbug.
Huwezi kumnunia mtu ambaye amekuacha ki maendeleo kwa zaidi ya karne 50...

Africa haiwezi kusimama peke yake bila hao we call them mabeberu, tutawahitaji tu tutake tusitake.
 
Huwezi kumnunia mtu ambaye amekuacha ki maendeleo kwa zaidi ya karne 50...

Africa haiwezi kusimama peke yake bila hao we call them mabeberu, tutawahitaji tu tutake tusitake.
Acha wajinga wajiongoze naomba mbowe aachane na siasa.
 
Back
Top Bottom