Sim Card
JF-Expert Member
- Dec 30, 2019
- 881
- 1,606
Ndiyo wanasikia. Umesahau kwamba siku hizi dunia ni Kama Kijiji? Umesahau kwamba Hawa watu wanamabalozi wao hapa!Kwani wanasikia haya anayoyasema?
Huyu hapaswi kuendelea. Anapaswa kukatishwa kuendelea hata Kama bado anataka.Mtu jeuri, kiburi, mkaidi na asiyethamini maisha ya watu wake
Kweli!Mabeberu/mabepari(capitalist)....watu wanatuona waAfrika ni fursa kwao.
Tusijidanganye eti mzungu anatupenda sisi waAfrica hata siku moja. Enzi za utumwa sisi kwao ni mboga tu, wanatutumia wanavyotaka wao.
Ukiwa kama mtabiriii!!! Au mganga wa kienyeji?Nc
Nchi yetu iko timamu ataondoka ila hakuna namna Mambo yashaharibika itachukua 20 yrs kurekebishika wakati huo Mimi nawewe tutakuwa na mvi. Too late.
Hakuna anayehama na kuongea tutaongea na yeye sio Messiah,ana siku yake kama kila mbwa alivyo na siku yake.
Kwa hiyo kakimblia kukaa jirani na kagame ili apewe ulinzi?Atahama yeye, tayari kaanza kusogea jirani na kwao, muda SI muda Ntarahamwe atavuka mpaka
Huwezi kumnunia mtu ambaye amekuacha ki maendeleo kwa zaidi ya karne 50...
Africa haiwezi kusimama peke yake bila hao we call them mabeberu, tutawahitaji tu tutake tusitake.
Kweli!
Sisi bado hatujafika kwenye level ya kujitegemea. Maana kila kitu tunategemea nje. Hadi bajeti zetu asilimia zaidi ya 30 hutegemea wahisani (mabeberu) anatia kichefuchefu Sana mkuu wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Kama hujui connection ya riziki unayotafuta na uongozi bora wa nchi sasa wewe una tofautiana nini na wale walio lala makaburiniWe pambana nakujitafutia riziki,jpm achana naye
Kwasasa ni wazi rais wetu John Joseph Pombe Magufuli ameamua kula sahani moja na mabeberu.
Ukweli ni kwamba kwa sasa hatuwaamini na hawatuamini tena.
Mwisho wa yote ni hitimisho la uongozi wa Rais wetu.
Kila anaeitegemea Serikali ajiandae kwa miaka 8 mpaka 9 kutoka Sasa mpaka kurudia pale alipoachia JK.
Jipangeni kiuchumi mpaka JPM astaafu maana hakuna namna tunazidi kuwaudhi hao ambao tunawategemea.
Superbug.
Hakuna anayependa kuitwa maskini, umaskini huu tulionao umeletwa na hawa hawa wanasiasa; miaka 50 ya uhuru hata dalili ya kujikwamua hakuna.Mawazo ya kimaskini kbsa hayo, Malaysia ilikuwa imeachwa karne ngapi na sasa iko wapi!? Wachina wenyewe hao walikuwa wameacha karne ngapi na wako wapi!? Hivi unafahamu sasa Rwanda wamefanikiwa kufuta utegemezi wa wahisani kwa asilimia 95 sasa, na siku sio nyingi watajitegemea kwa budget yao wenyewe hao nao waliachwa kwa karne ngapi!? Acha mawazo ya kivivu hayo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa mbele ya mudaNc
Nchi yetu iko timamu ataondoka ila hakuna namna Mambo yashaharibika itachukua 20 yrs kurekebishika wakati huo Mimi nawewe tutakuwa na mvi. Too late.