Kwani wanasikia haya anayoyasema?ipangeni kiuchumi mpaka JPM astahafu maana hakuna namna tunazidi kuwaudhi hao ambao tunawategemea.
Hameni nchi nendeni huko wanakothaminiwa.Mtu jeuri, kiburi, mkaidi na asiyethamini maisha ya watu wake
Atahama yeye, tayari kaanza kusogea jirani na kwao, muda SI muda Ntarahamwe atavuka mpaka
Nchi yetu iko timamu ataondoka ila hakuna namna Mambo yashaharibika itachukua 20 yrs kurekebishika wakati huo Mimi nawewe tutakuwa na mvi. Too late.Atahama yeye, tayari kaanza kusogea jirani na kwao, muda SI muda Ntarahamwe atavuka mpaka
Very sadNc
Nchi yetu iko timamu ataondoka ila hakuna namna Mambo yashaharibika itachukua 20 yrs kurekebishika wakati huo Mimi nawewe tutakuwa na mvi. Too late.
Tutakuwa kama zimbabweMabeberu/mabepari(capitalist)....watu wanatuona waAfrika ni fursa kwao.
Tusijidanganye eti mzungu anatupenda sisi waAfrica hata siku moja. Enzi za utumwa sisi kwao ni mboga tu, wanatutumia wanavyotaka wao.
Bashite anakuangalia na kusema hiii
Huwezi kumnunia mtu ambaye amekuacha ki maendeleo kwa zaidi ya karne 50...Kwasasa ni wazi rais wetu John Joseph Pombe Magufuli ameamua kula sahani moja na mabeberu.
Ukweli ni kwamba kwa sasa hatuwaamini na hawatuamini tena.
Mwisho wa yote ni hitimisho la uongozi wa Rais wetu.
Kila anaeitegemea Serikali ajiandae kwa miaka 8 mpaka 9 kutoka Sasa mpaka kurudia pale alipoachia JK.
Jipangeni kiuchumi mpaka JPM astaafu maana hakuna namna tunazidi kuwaudhi hao ambao tunawategemea.
Superbug.
Acha wajinga wajiongoze naomba mbowe aachane na siasa.Huwezi kumnunia mtu ambaye amekuacha ki maendeleo kwa zaidi ya karne 50...
Africa haiwezi kusimama peke yake bila hao we call them mabeberu, tutawahitaji tu tutake tusitake.
Mawazo ya kijinga na kipumbavu kabisa!!!!