Mabeberu? Rais Magufuli ameiathiri Serikali yake na ijayo

Mabeberu/mabepari(capitalist)....watu wanatuona waAfrika ni fursa kwao.
Tusijidanganye eti mzungu anatupenda sisi waAfrica hata siku moja. Enzi za utumwa sisi kwao ni mboga tu, wanatutumia wanavyotaka wao.
Kweli!

Sisi bado hatujafika kwenye level ya kujitegemea. Maana kila kitu tunategemea nje. Hadi bajeti zetu asilimia zaidi ya 30 hutegemea wahisani (mabeberu) anatia kichefuchefu Sana mkuu wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nc
Nchi yetu iko timamu ataondoka ila hakuna namna Mambo yashaharibika itachukua 20 yrs kurekebishika wakati huo Mimi nawewe tutakuwa na mvi. Too late.
Ukiwa kama mtabiriii!!! Au mganga wa kienyeji?
 
Mawazo ya kimaskini kbsa hayo, Malaysia ilikuwa imeachwa karne ngapi na sasa iko wapi!? Wachina wenyewe hao walikuwa wameacha karne ngapi na wako wapi!? Hivi unafahamu sasa Rwanda wamefanikiwa kufuta utegemezi wa wahisani kwa asilimia 95 sasa, na siku sio nyingi watajitegemea kwa budget yao wenyewe hao nao waliachwa kwa karne ngapi!? Acha mawazo ya kivivu hayo..
Huwezi kumnunia mtu ambaye amekuacha ki maendeleo kwa zaidi ya karne 50...

Africa haiwezi kusimama peke yake bila hao we call them mabeberu, tutawahitaji tu tutake tusitake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Level ya kujitegemea inafikiwaje na ni lini kuifikia kama hutaanza sasa kwa machungu na kujibana, nani alifikia level ya kujitegemea alivyoamka tu bila kupitia wakati mgumu?
Kweli!

Sisi bado hatujafika kwenye level ya kujitegemea. Maana kila kitu tunategemea nje. Hadi bajeti zetu asilimia zaidi ya 30 hutegemea wahisani (mabeberu) anatia kichefuchefu Sana mkuu wetu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We pambana nakujitafutia riziki,jpm achana naye
Pole sana Kama hujui connection ya riziki unayotafuta na uongozi bora wa nchi sasa wewe una tofautiana nini na wale walio lala makaburini
 
Tatizo sio raisi tatizo lipo kwa wananchi wenyewe!.
Tumeishi maisha ya kupokea na sio kujitegemea.
Kwa mantiki hyo razima tumwone rais kama hatujali.
 
Kuna mtu kampotosha hapo na hiyo lugha ya mabeberu.

Kuna waziri mmoja anaishi miaka ya 60 enzi za vita baridi.Amekuwa na mtazamo huo akiamini ana muenzi baba wa taifa.
Hata hivyo baba wa Taifa alikuwa na akili sana.Alijua aseme nini,wakati gani!

Alikuwa na nguvu ya kusema vile kwa kuwa dunia ilikuwa imegawanyika kisiasa.Lakini sasa huwezi kusema mchina ni adui wa mmarekani.
Hawa watu wana akili sana na wametuzidi mbali mno.Wanajua michezo wanayocheza.

Hata rais wa Korea kaskazini unaweza kuona ana uadui na marekani,kumbe la! wanajua michezo wanayofanya.Michezo hiyo Rais wa Russia pekee ndiye hahusiki.

Naiombea Tanzania yangu.Hatuwezi kuishi kwa kauli zenye ukakasi hivi kwa kila mtu aliyetuzidi nguvu.

Sasa hivi mabeberu wanaosemwa ni wachina.Maana vifaa karibu vyote vinatoka China.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna anayependa kuitwa maskini, umaskini huu tulionao umeletwa na hawa hawa wanasiasa; miaka 50 ya uhuru hata dalili ya kujikwamua hakuna.

Hivi nikuulize wewe kabisa ndani ya roho yako are we moving forward at the right direction as a nation? au na wewe umeingia kwenye hii mitego ya wanasiasa kukuaminisha yasiyokuwepo.

Ni secta ipi inayoajili watu wengi over 80%; Je ipo katika hali gani?

Hata hivyo si uungwana, mtu anakusaidia leo unamwita mdau wa maendeleo, kesho akirudi kukwambia rekebisha A, B na C unamgeuka na kumwita Beberu... laah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…