Uchaguzi 2020 Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka Tundu Lissu madarakani

Watulize kipago,waliache jina la Lissu,kama ni msaliti watanzania wataongea kwenye sanduku la kura
 
Kwa nini wanachama wa ccm wanapenda sana kutisha watanzania? Mara Amani itapotea wapinzani wakishika mara mabeberu watashika nchi mara reli zitangolewa! Duh! Kweli mnadhani wapiga kura wote ni wajinga? Tumor I hoja za maana! Lisu amesema TRA kwa mfano inabambikizia watu kodi jibuni hilo!
 
Tanzania nchi yetu sote.
 
Ndugu Watanzania,

Kipekee napenda kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama...
hofu ya nini kama anakubalika kwa kufanya makubwa kuliko hata wakoloni, huku akimiliki kila kitu kuanzia viongozi wa dini, vyombo vya habari, tume, wasanii, dola kwanini kumuogopa mtu asiyemiliki hata mtaa.

Acha propaganda na ukweli halisi vijichuje october. mzalendo hawafanyi wananchi wake wawe masikini ili wamuabudu, mzalendo aanzi kushiba yeye kabla ya wengine, usipoliwa huwezi kula hizo raslimali zipi zinazolindwa na kushindikana kupatikana pindi hao mabeberu wazitakapo wakazikosa mbona mna mawazo ya kijima.
 

mtanzia yeyeto anayo equal chance ya kuaminiwa na watz kuongoza na sio watu maalumu pekee.
 
Magufuli siyo mzalendo pekee nchi hii
Hata siye tupo.
Tanzania aliiikuta na ataiacha,amekufa Mkapa sembuse yeye!
The bottomline is mwacheni Lissu agombee,wananchi kama hawampendi vichinjio wanavyo watamkata
Miccm haelewi hilo.
 
Ninapata shida kuona uelewa wa vijana wa bavicha kuhusu barua za propaganda zilizoletwa na kigogo
 
Usipofushwe na neno uzalendo wa mdomoni, ushindwe kuukabili ukweli. Hakuna asiyependa nchi yake.
 
Magufuli anachukiwa na mabeberu. Lissu anapendwa sana na mabeberu. TAFAKARI
 
This country can't go to the DOGS.

Kwa kuwa wanakula hela za jamaa,acha wajifarague kumpendeza bwana wao ila mchezo utaisha saa nne tu hiyo Jumatano.
 
Wazo zuri, propaganda hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…