Uchaguzi 2020 Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka Tundu Lissu madarakani

Amsterdam&partners
 
Wasi was wako tu huo mzee usiogope Lissu nani nchi hii ni Mali ya Ccm .
 
Magufuli anachukiwa na mabeberu. Lissu anapendwa sana na mabeberu. TAFAKARI
Naulizia beberu ni nani? Hizi ideology zilizotumika wakati wa kuomba uhuru kwa Uingereza zimetoka wapi? Uchaguzi ni kati ya ccm na vyama vingine acheni woga.
 
Let's be serious sio wote wajinga huu ni woga usionashaka. Leo partners in development wanaitwa mabeberu kisa Lisu mliomchonga wenyewe. Acheni woga msije mkaharibu zaidi the Haigue inawasubiri.
 
Tatizo kuu linaanzia kwetu, viongozi wetu tuliowachagua hawana uzalendo wowote ndo maana hao mnaowaita mabeberu wanatutomasa.Kitendo cha lissu kupigwa risasi na rais kukaa kimya kilidhalilisha Uhuru wetu kama taifa.kwa hili magu hakutimiza wajibu wake kama rais wetu.dhambi hii itaendelea kumuandama mpaka mwisho.
 
Kila mtanzania ako na haki ya kugombea uongozi,,sio dhambi ni haki yake kikatiba,,
Wanaccm wenzangu tukubali haki za wenzetu nao kushiriki siasa za nchi yetu
Kosa kubwa LA ccm ni kuwaamulia watanzania kila jambo kwa niaba yao.sio sawa
 
Wewe ni Mungu ajuaye nani atakuwa Rais na nani hawezi kuwa Rais ?
 
U
Watulize kipago,waliache jina la Lissu,kama ni msaliti watanzania wataongea kwenye sanduku la kura
Uko sahihi sana, umma utaamua unataka uongozwe na nani, maswala ya kutumia mapolis, uhamiaji au tume kukandamiza haki za watu sio sawa.sisi wote ni watanzania.wapinzani kama kushindwa washindwe kwa haki kwenye sanduku LA kura sio kuenguliwa kwenye mchakato.vyombo vyetu vya dola vifanye kazi kwa mujibu wa sheria na katiba na sio maelekezo kinyume na katiba.huo ndo uzalendo pekee kwa nchi yetu tuipendayo.
 
MAGUFULI ni MUSA wa Biblia kwetu sisi.

MUNGU atatufunika kwa wingu akiwa ndani yetu,na kila hatua ya MAGUFULI wingu la MUNGU litatangulia mbele, litapumzikia Seluu kusubiri maombi ya MUSA( MAGUFULI) kutuvusha kwenda KAANANI

watashindana lakini hawatashinda
 
Bado hamjaona mambo huo ni utangulizi mdogo tu mtashika adabu yenu.
 
Acha kumtukuza dikteta na muuaji.
 
Kwa hali inavo kwenda nchi hii kwa sasa bora tu sje Tundu lissu au Mwengine.
Uzalendo wa madaja hapana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…