mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ubao unasoma Russia 50 vs GayNATO 0. Pro NATO mwaka huu lazima mchizike
Tumwombe Mungu vita hii ikome kwa maana mfaidika wa vita hii ni mmoja tu naye anaitwa shetani. Biblia imeweka wazi lengo la shetani ni KUCHINJA. KUUA na KUHARIBU na ndicho kinachofanyika kwenye hii vita. Na shetani anawatumia wote wanaohusika na vita hii ili kutekeleza agenda yake ambao ni Urusi, Ukraine, Uingereza, Marekani na NATO kwa ujumla. Wote hao ni watumishi wa shetani kwenye vita hii wala hawawezi kuchekana!!
Nchi za magharibi ina wanajeshi Ukraine ila wanajifanya kuongopea dunia, kwahiyo mrusi amavyoshusha makombora anajua anawalenga hawa kenge wa magharibi. Wajipange waje mstari wa mbele dunia iwaone, na wajue wanachokitafuta watakipata, sio kwa mlango wa uchochoroni waje mbele . Pumbafu sao.
Unapigana na mlemavu halafu unajisifia una nguvu.
Urus anapigana vita na Ukraine ili achukue nini?
Kama target yake ni kumtafuta Marekani, Uingereza, Israel au mmojawapo amechemka.
Hizi nchi zinaongozwa na watu wenye akili sana ambao wanawaza kesho nchi zao zinatakiwa ziwe juu kiuchumi, kisiasa hata michezo.
tupe ushaid , waafrika tuna ugonjwa wa kuendeshwa na " story za huenda "Nchi za magharibi ina wanajeshi Ukraine ila wanajifanya kuongopea dunia, kwahiyo mrusi amavyoshusha makombora anajua anawalenga hawa kenge wa magharibi. Wajipange waje mstari wa mbele dunia iwaone, na wajue wanachokitafuta watakipata, sio kwa mlango wa uchochoroni waje mbele . Pumbafu sao.
Marekani na Uingereza ndiyo wanamtafuta Russia, kama ilivyo kawaida yao, kupigana vita kwenye nchi za wanzao, Ukraine imeingia mkenge wakitegemea kusaidiwa, lakini kumbuka hakuna free lunch. Miji itabaki magofu kwenye ujenzi wa miji upya hawa kenge wa magharibi ndiyo watakapopiga hela kwenye kandarasi. Huyu bwege wa Ukraine kaingizwa mkenge 😂😂😂 ndiyo maana anaomba sapoti na wenye akili wamemchungulia kwenye mirror, huku makenge ya magharibi yakifurahi maana kwao binadamu lazima uwe shoga ukikataa ushoga huna thamani, zaidi ya interest zao.Usicheze na nchi zinaongozwa na mfumo wa Capitalism iliyokomaa imperialism.
Kama Russia target yake ni kumtafuta Marekani au Uingereza imechemka 100%
Watu wameshajifunza kwenye Vita vya kwanza, ya pili na Great economy depression.
Kasome Capitalism.
Ni kweli, wanajeshi au wataalamu toka nchi za NATO wapo Ukraine wakiratibu utumiaji wa siraha wapelekazoNchi za magharibi ina wanajeshi Ukraine ila wanajifanya kuongopea dunia, kwahiyo mrusi amavyoshusha makombora anajua anawalenga hawa kenge wa magharibi. Wajipange waje mstari wa mbele dunia iwaone, na wajue wanachokitafuta watakipata, sio kwa mlango wa uchochoroni waje mbele . Pumbafu sao.
Kama Mrusi anajua wapo askari wa Marekani na Uingereza kwanini asiwafuate nchini kwao akawashughulikia? Au anajua kama Ukraine tu imemtoa kamasi akienda huko ndio atakimbia kama mbwa koko?Nchi za magharibi ina wanajeshi Ukraine ila wanajifanya kuongopea dunia, kwahiyo mrusi amavyoshusha makombora anajua anawalenga hawa kenge wa magharibi. Wajipange waje mstari wa mbele dunia iwaone, na wajue wanachokitafuta watakipata, sio kwa mlango wa uchochoroni waje mbele . Pumbafu sao.k
Anakimbiza kenge kimyakimya, na kurusha mikombora gizani, anajua mikenge itapiga kelele tu, vita zakupigana na kelele wanazo kenge wa magharibi.Kama Mrusi anajua wapo askari wa Marekani na Uingereza kwanini asiwafuate nchini kwao akawashughulikia? Au anajua kama Ukraine tu imemtoa kamasi akienda huko ndio atakimbia kama mbwa koko?
Sijajua unavyosema kuratibu vita na upo uwanja wa vita unamaanisha nini, field ni field tu.Ni kweli, wanajeshi au wataalamu toka nchi za NATO wapo Ukraine wakiratibu utumiaji wa siraha wapelekazo
Ukraine kuna siraha wanapewa lazima wapewe nawa kuzi operate toka nchi siraha inatoka...so maana yangu ni kweli kuna wanajeshi wa NATO vitani.Sijajua unavyosema kuratibu vita na upo uwanja wa vita unamaanisha nini, field ni field tu.
Hapo nimekuelewa 5kwa5Ukraine kuna siraha wanapewa lazima wapewe nawa kuzi operate toka nchi siraha inatoka...so maana yangu ni kweli kuna wanajeshi wa NATO vitani.
Hanashida nakuchukua kitu MKUU anataka miji tu igeuke magofu halaf arudi alipotokaUnapigana na mlemavu halafu unajisifia una nguvu.
Urus anapigana vita na Ukraine ili achukue nini?
Kama target yake ni kumtafuta Marekani, Uingereza, Israel au mmojawapo amechemka.
Hizi nchi zinaongozwa na watu wenye akili sana ambao wanawaza kesho nchi zao zinatakiwa ziwe juu kiuchumi, kisiasa hata michezo.
Afadhali hujaweka comment yeyote asome aelewe mwenyewe.
Kama Mrusi anajua wapo askari wa Marekani na Uingereza kwanini asiwafuate nchini kwao akawashughulikia? Au anajua kama Ukraine tu imemtoa kamasi akienda huko ndio atakimbia kama mbwa koko?