Mabeberu wanataka kuchimba madini huku

Mabeberu wanataka kuchimba madini huku

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
images (80).jpeg

Hiki kimondo kinaitwa Phsyche. Utajili wake ni sawa na Kila mwanadamu anakuwa na utajili wa Bill gates. Kiko ktk ya sayari za mars na Jupiter ila beberu USA kafikisha Voyager na mpango ni kuyachimba madini ya huko. Tujifunze kutoka Kwa hawa watu kuliko kuwachukia. Wako mbali sana kisayansi
 
1. Utajiri ni nn?
2. Nani ali-set values za hicho kimondo?
3. Nani ananunua material (madini) ya vimondo na kuhifadhi??
4. Hayo madini yanatumika kutengenezea nn hapa duniani??
....................
Najaribu kuwaza tu, kuhusu hayo madini yanayoweza kufanikisha utajiri wa kila binadam kumiliki utajiri kama wa Bill Gates. Hii issue ni kubwa sana. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2228279
Hiki kimondo kinaitwa Phsyche. Utajili wake ni sawa na Kila mwanadamu anakuwa na utajili wa Bill gates. Kiko ktk ya sayari za mars na Jupiter ila beberu USA kafikisha Voyager na mpango ni kuyachimba madini ya huko. Tujifunze kutoka Kwa hawa watu kuliko kuwachukia. Wako mbali sana kisayansi
Mlahaba watalipa kwa nani?
 
Acha wale wazee wa kuisapoti urusi waje. Tatizo wa Afrika tumejazwa maujinga ya kuamini wazungu ni wezi wakati wanatumia uwezo wao wa kujipambania
 
Subiri masheikh waje, hawatakubaliana na hii habari labda kama ingekuwa inawahusu wachina, warussia au hata wairan.
Cha ajabu hzo nchi wanazoziabudu hazina mchango wowote katika hili taifa kuzidi hizo wanazozichukia. Tatizo hao jamaa wamejazwa chuki na wivu na roho mbaya za kijinga. China hata ikikopesha taifa maskn itataka kupora mali za huyo maskn. Hao waarabu hv wana faida gani kwa hz nchi zetu.
 
View attachment 2228279
Hiki kimondo kinaitwa Phsyche. Utajili wake ni sawa na Kila mwanadamu anakuwa na utajili wa Bill gates. Kiko ktk ya sayari za mars na Jupiter ila beberu USA kafikisha Voyager na mpango ni kuyachimba madini ya huko. Tujifunze kutoka Kwa hawa watu kuliko kuwachukia. Wako mbali sana kisayansi
Kujifunza kwa mashoga!!!!!
Noooooooooo

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Cha ajabu hzo nchi wanazoziabudu hazina mchango wowote katika hili taifa kuzidi hizo wanazozichukia. Tatizo hao jamaa wamejazwa chuki na wivu na roho mbaya za kijinga. China hata ikikopesha taifa maskn itataka kupora mali za huyo maskn. Hao waarabu hv wana faida gani kwa hz nchi zetu.
Unasema china Hana mchango kwa taifa maskini .unauahakika na ulichoandika mkuu?
 
Cha ajabu hzo nchi wanazoziabudu hazina mchango wowote katika hili taifa kuzidi hizo wanazozichukia. Tatizo hao jamaa wamejazwa chuki na wivu na roho mbaya za kijinga. China hata ikikopesha taifa maskn itataka kupora mali za huyo maskn. Hao waarabu hv wana faida gani kwa hz nchi zetu.
China anawajengea mashule, barabara na miundombinu mengine, marekani anawapa vyandarua , condom na ARV , hata akitoa hela dollar kadhaa hamzioni wakubwa wenu wanatafuna kwa sababu ni hela

[emoji116][emoji116]
Huwaga hawatoi misaada kwa masharti hawa wala kujitangaza
MAKAMBA-1.jpg
1.jpg
 
View attachment 2228279
Hiki kimondo kinaitwa Phsyche. Utajili wake ni sawa na Kila mwanadamu anakuwa na utajili wa Bill gates. Kiko ktk ya sayari za mars na Jupiter ila beberu USA kafikisha Voyager na mpango ni kuyachimba madini ya huko. Tujifunze kutoka Kwa hawa watu kuliko kuwachukia. Wako mbali sana kisayansi
Hiki ndicho kina dhahabu? kuna kimondo kimoja wanasema kama dhahabu zake zote zikichimbwa zikaletwa duniani, basi bei ya dhahabu itaporomoka kwa kasi maana kutakuwa na dhahabu nyingi sana duniani
 
China anawajengea mashule, barabara na miundombinu mengine, marekani anawapa vyandarua , condom na ARV , hata akitoa hela dollar kadhaa hamzioni wakubwa wenu wanatafuna kwa sababu ni hela

[emoji116][emoji116]
Huwaga hawatoi misaada kwa masharti hawa wala kujitangazaView attachment 2228576View attachment 2228578
We mwehu kweli bajeti ya nchi yako inasaidiwa parefu na hao unao watukana. Huyo china akikusaidia ipo siku atachukua uwanja wa ndege au bandari reference zambia huko nk
 
Back
Top Bottom