Mabeberu wanataka kuchimba madini huku

Mabeberu wanataka kuchimba madini huku

Unasema zaidi ya 30T Usd ni ndogo unajua hela ya riba uwa inakuwaje?
Hawezi kichukua hata awadai kvp maana anajua wana nguvu. Na kwa USA 30T ni tuhela tudogo saana. Hata bajet ya jimbo moja haitoshi hivyo ni vipesa ambavyo wanaweza kuvilipa bila hata bunge lao kujadili. Mfano wanamsaidia ukraine vita msaada umeidhinishwa US dillara 30T
 
Bajeti gani hio, mnajua hao magharibi wanawadai bei gani?? Hizi hela za bajeti unafkri hao magharibi wanawapa bure, kaa ukisifia bajeti wakati wenzako wanatafuna hela, Bora hizo bank za China wanajenga miundombinu thn inajilipa wenyewe baada ya kipindi flani, kuchukuliwa kwa uwanja wa ndege ni makosa ya Government zenu na sio China, Lazima itakua mmekiuka mikataba au makubaliano, Kwanza unajua mpaka 2019 Iran ndio nchi ambayo inayoongoza kuwadai deni kubwa ??
Wanazingua hawa pro-west
 
Kwanini mnapoambiwa ukweli mnabaki kutoka povu?? Hata mseme nini ukweli hauwezi kubadilika, China ndio taifa linalowapa tafu sio tu nchi ya Tz bali ni bara zima la Africa

Kitu gani unachotumia hme kwenu made in USA , vyote utakuta made in China mpaka hio simu inayotype upuuzi wako ni kwa msaada wa China

Mnapoambiwa ukweli msitokwe na mapovu, sisi wengine never hide urongo
Siku zote ukweli utabaki kuwa ukweli ata wakiuchukia👍
 
H
Kwanini mnapoambiwa ukweli mnabaki kutoka povu?? Hata mseme nini ukweli hauwezi kubadilika, China ndio taifa linalowapa tafu sio tu nchi ya Tz bali ni bara zima la Africa

Kitu gani unachotumia hme kwenu made in USA , vyote utakuta made in China mpaka hio simu inayotype upuuzi wako ni kwa msaada wa China

Mnapoambiwa ukweli msitokwe na mapovu, sisi wengine never hide urongo
Huna akili. Bajeti ya taifa lako inachangiwa pakubwa na nani ukitoa pesa za ndani.???

Shida hata shule hamja soma watu wa dullah
 
Bajeti gani hio, mnajua hao magharibi wanawadai bei gani?? Hizi hela za bajeti unafkri hao magharibi wanawapa bure, kaa ukisifia bajeti wakati wenzako wanatafuna hela, Bora hizo bank za China wanajenga miundombinu thn inajilipa wenyewe baada ya kipindi flani, kuchukuliwa kwa uwanja wa ndege ni makosa ya Government zenu na sio China, Lazima itakua mmekiuka mikataba au makubaliano, Kwanza unajua mpaka 2019 Iran ndio nchi ambayo inayoongoza kuwadai deni kubwa ??
Ushawahi sikia US na ulaya wamechukua uwanja au bandari ya kuidai nchi maskin.?? Wana tabia ya kusamehe mikopo kikubwa uwe tu na ushirika wa kibiashara na wao. Sasa njoo china anataka kuleta mikataba ya kina mangungo karne hii. Mfano nishakupa Zambia wamepokonywa uwanja wa ndege au hujui..? Tumia akili hao waarabu wana faida gani.kwetu zaidi ya kuchimba visima ndio.msaada wa ushirika. Acha ufala elimu tunayosoma waliileta wazungu. Mpaka katiba walitutengenezea afu unajamba ujinga hapa. Nchi zetu hz bila ushirika na ulaya zitateseka saana kwa maana huyo mchina nk watalazimisha kufilisi vitu au rasilimali zetu. Amka acha uboya.
 
Excess ya hayo madini itapunguza thamani yake.
 
Us na ulaya wanasemehe mikopo au sio 😁 unajua wanachukua vitu gani Kama mbadala .for sure you nothing about oil and minerals vampires 👹U.S.A and Europe. Have a nice day siitaji kuendelea kujibizana na wewe
 
Thamani ya madini tunaipa sisi wenyewe binadamu...wakiyachimba wakayaleta duniani wakayagawa hayatakuwa na thamani yoyote ile.
Yakija yote hayo kwanza yatasababisha inflation na thamani yake itaporomoka kama Niagra
 
Us na ulaya wanasemehe mikopo au sio 😁 unajua wanachukua vitu gani Kama mbadala .for sure you nothing about oil and minerals vampires 👹U.S.A and Europe. Have a nice day siitaji kuendelea kujibizana na wewe
Hayo ni makubaliano mzee wanalosaidia vita kwako. Unataka wakusaidie vita bure.?
 
1. Utajiri ni nn?
2. Nani ali-set values za hicho kimondo?
3. Nani ananunua material (madini) ya vimondo na kuhifadhi??
4. Hayo madini yanatumika kutengenezea nn hapa duniani??
....................
Najaribu kuwaza tu, kuhusu hayo madini yanayoweza kufanikisha utajiri wa kila binadam kumiliki utajiri kama wa Bill Gates. Hii issue ni kubwa sana. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Kabla ya mawazo yako, wenzio walishakuwa na majibu yote hayo kitambo saana,!
 
Us na ulaya wanasemehe mikopo au sio [emoji16] unajua wanachukua vitu gani Kama mbadala .for sure you nothing about oil and minerals vampires [emoji83]U.S.A and Europe. Have a nice day siitaji kuendelea kujibizana na wewe
Mwambie aende mirarani huko akajionee [emoji16][emoji16], maana baada ya hela za wachimbaji kama Serikali inapata hata sent 5 [emoji23]
 
Back
Top Bottom