Mabeberu wanataka kuchimba madini huku

Mabeberu wanataka kuchimba madini huku

China anawajengea mashule, barabara na miundombinu mengine, marekani anawapa vyandarua , condom na ARV , hata akitoa hela dollar kadhaa hamzioni wakubwa wenu wanatafuna kwa sababu ni hela

[emoji116][emoji116]
Huwaga hawatoi misaada kwa masharti hawa wala kujitangazaView attachment 2228576View attachment 2228578
Barabara hizo unazoziona wewe pesa za wazungu.mpuuzi hata haya huna. Fly over mikopo ya benki ya dunia na varabara zingine pesa za mabeberu. Shule zimejengewa madarasa 1500 kwa pesa za msaada wa uviko kutoka ulaya sio hao unaowasifia acha upumbavu na acha chuki.za kidini hazisaidiii lolote hili taifa dini iwe moyoni mwako na sio kulzimisha, kutusi na kudharau dinj zawatu.
 
Ndio. Mchango wa mchina huwezi ufananisha na nchi za magharibi. China huyu ambae ukishindwa kulipa deni anakamata rasilimali zako. Bajeti ya nchi yetu ina boosted na china au ulaya na marekani..?
Unasema china Hana mchango kwa taifa maskini .unauahakika na ulichoandika mkuu?
o
 
Ndio. Mchango wa mchina huwezi ufananisha na nchi za magharibi. China huyu ambae ukishindwa kulipa deni anakamata rasilimali zako. Bajeti ya nchi yetu ina boosted na china au ulaya na marekani..?

o
Waswahili wanasema dawa ya deni ni nini?🤔

Ukienda kukopa bank ukishindwa kulipa wanafanya nini?🤔
 
China anawajengea mashule, barabara na miundombinu mengine, marekani anawapa vyandarua , condom na ARV , hata akitoa hela dollar kadhaa hamzioni wakubwa wenu wanatafuna kwa sababu ni hela

[emoji116][emoji116]
Huwaga hawatoi misaada kwa masharti hawa wala kujitangazaView attachment 2228576View attachment 2228578
Hivi kwanini mnapenda sana misaada? Tena mnajisifia kabisa kama Jiwe alivyowaaminisha kuwa unyonge ni jambo la kujivunia
 
We mwehu kweli bajeti ya nchi yako inasaidiwa parefu na hao unao watukana. Huyo china akikusaidia ipo siku atachukua uwanja wa ndege au bandari reference zambia huko nk
Unaelewa nini maana ya mikopo yenye kulipa wakati sahihi? Alafu in short china alazimishi mtu kukopa kwake ata huyo mmarekani unaye msifia anadaiwa zaidi ya 30Trillion Usd je Kuna kiwanja Cha U.S.A kimechukuliwa na china?🤔
 
Hiko kimondo sindicho walichosema kinataka kugonga dunia au[emoji848]
 
View attachment 2228279
Hiki kimondo kinaitwa Phsyche. Utajili wake ni sawa na Kila mwanadamu anakuwa na utajili wa Bill gates. Kiko ktk ya sayari za mars na Jupiter ila beberu USA kafikisha Voyager na mpango ni kuyachimba madini ya huko. Tujifunze kutoka Kwa hawa watu kuliko kuwachukia. Wako mbali sana kisayansi
Wenzetu wako mbali sana. Sisi wa huku nyanchilili ngoja tuendelee kuwaponda huku hatuna kitu. Mashehe wa buza watakuja huku kupinga. Wakat huohuo waumin wa Muhammad kule uarabuni wanataman wahamie huko USA karibia wote.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Unaelewa nini maana ya mikopo yenye kulipa wakati sahihi? Alafu in short china alazimishi mtu kukopa kwake ata huyo mmarekani unaye msifia anadaiwa zaidi ya 30Trillion Usd je Kuna kiwanja Cha U.S.A kimechukuliwa na china?🤔
Hawezi kichukua hata awadai kvp maana anajua wana nguvu. Na kwa USA 30T ni tuhela tudogo saana. Hata bajet ya jimbo moja haitoshi hivyo ni vipesa ambavyo wanaweza kuvilipa bila hata bunge lao kujadili. Mfano wanamsaidia ukraine vita msaada umeidhinishwa US dillara 30T
 
Yaani wewe mtu akukope fedha yako unayaotegemea na makubaliano yenu ni akulipe muda fulani eti umsamehe akuna msamaha kwenye fedha .raha ya deni ni kulipa ukishindwa kulipa unataifishwa Mali zako ili kampuni iendelee kukopesha wengine
#HAULAZISHWI KUKOPA
Kulipa kuna msamaha pia
 
We mwehu kweli bajeti ya nchi yako inasaidiwa parefu na hao unao watukana. Huyo china akikusaidia ipo siku atachukua uwanja wa ndege au bandari reference zambia huko nk
Bajeti gani hio, mnajua hao magharibi wanawadai bei gani?? Hizi hela za bajeti unafkri hao magharibi wanawapa bure, kaa ukisifia bajeti wakati wenzako wanatafuna hela, Bora hizo bank za China wanajenga miundombinu thn inajilipa wenyewe baada ya kipindi flani, kuchukuliwa kwa uwanja wa ndege ni makosa ya Government zenu na sio China, Lazima itakua mmekiuka mikataba au makubaliano, Kwanza unajua mpaka 2019 Iran ndio nchi ambayo inayoongoza kuwadai deni kubwa ??
 
Hivi kwanini mnapenda sana misaada? Tena mnajisifia kabisa kama Jiwe alivyowaaminisha kuwa unyonge ni jambo la kujivunia
Waulize Governments za Africa hilo swali, mm sitoweza kukujibu lakini ninavyoelewa mm Africa tumejaaliwa kila kitu but most of African countries are corrupted since miaka ya 80 au tokea tulivyopata Uhuru, tuna history ya kutawaliwa but haimaanishi kwamba till now tunategemea mikopo ya kipuuzi tena kwa masharti hatari,

Kinachouma zaidi kila miaka madeni yanazidi na hakuna maendeleo, huo ndio ukweli
 
Barabara hizo unazoziona wewe pesa za wazungu.mpuuzi hata haya huna. Fly over mikopo ya benki ya dunia na varabara zingine pesa za mabeberu. Shule zimejengewa madarasa 1500 kwa pesa za msaada wa uviko kutoka ulaya sio hao unaowasifia acha upumbavu na acha chuki.za kidini hazisaidiii lolote hili taifa dini iwe moyoni mwako na sio kulzimisha, kutusi na kudharau dinj zawatu.
Kwanini mnapoambiwa ukweli mnabaki kutoka povu?? Hata mseme nini ukweli hauwezi kubadilika, China ndio taifa linalowapa tafu sio tu nchi ya Tz bali ni bara zima la Africa

Kitu gani unachotumia hme kwenu made in USA , vyote utakuta made in China mpaka hio simu inayotype upuuzi wako ni kwa msaada wa China

Mnapoambiwa ukweli msitokwe na mapovu, sisi wengine never hide urongo
 
Back
Top Bottom