DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Hawezi kichukua hata awadai kvp maana anajua wana nguvu. Na kwa USA 30T ni tuhela tudogo saana. Hata bajet ya jimbo moja haitoshi hivyo ni vipesa ambavyo wanaweza kuvilipa bila hata bunge lao kujadili. Mfano wanamsaidia ukraine vita msaada umeidhinishwa US dillara 30T
Wanazingua hawa pro-westBajeti gani hio, mnajua hao magharibi wanawadai bei gani?? Hizi hela za bajeti unafkri hao magharibi wanawapa bure, kaa ukisifia bajeti wakati wenzako wanatafuna hela, Bora hizo bank za China wanajenga miundombinu thn inajilipa wenyewe baada ya kipindi flani, kuchukuliwa kwa uwanja wa ndege ni makosa ya Government zenu na sio China, Lazima itakua mmekiuka mikataba au makubaliano, Kwanza unajua mpaka 2019 Iran ndio nchi ambayo inayoongoza kuwadai deni kubwa ??
Siku zote ukweli utabaki kuwa ukweli ata wakiuchukia👍Kwanini mnapoambiwa ukweli mnabaki kutoka povu?? Hata mseme nini ukweli hauwezi kubadilika, China ndio taifa linalowapa tafu sio tu nchi ya Tz bali ni bara zima la Africa
Kitu gani unachotumia hme kwenu made in USA , vyote utakuta made in China mpaka hio simu inayotype upuuzi wako ni kwa msaada wa China
Mnapoambiwa ukweli msitokwe na mapovu, sisi wengine never hide urongo
Hivyo ni.vihela vya kununulia steel wire kwa jimbo moja tu la US. hizo wamekopa kama ushirika tuUnasema zaidi ya 30T Usd ni ndogo unajua hela ya riba uwa inakuwaje?
Huna akili. Bajeti ya taifa lako inachangiwa pakubwa na nani ukitoa pesa za ndani.???Kwanini mnapoambiwa ukweli mnabaki kutoka povu?? Hata mseme nini ukweli hauwezi kubadilika, China ndio taifa linalowapa tafu sio tu nchi ya Tz bali ni bara zima la Africa
Kitu gani unachotumia hme kwenu made in USA , vyote utakuta made in China mpaka hio simu inayotype upuuzi wako ni kwa msaada wa China
Mnapoambiwa ukweli msitokwe na mapovu, sisi wengine never hide urongo
Ushawahi sikia US na ulaya wamechukua uwanja au bandari ya kuidai nchi maskin.?? Wana tabia ya kusamehe mikopo kikubwa uwe tu na ushirika wa kibiashara na wao. Sasa njoo china anataka kuleta mikataba ya kina mangungo karne hii. Mfano nishakupa Zambia wamepokonywa uwanja wa ndege au hujui..? Tumia akili hao waarabu wana faida gani.kwetu zaidi ya kuchimba visima ndio.msaada wa ushirika. Acha ufala elimu tunayosoma waliileta wazungu. Mpaka katiba walitutengenezea afu unajamba ujinga hapa. Nchi zetu hz bila ushirika na ulaya zitateseka saana kwa maana huyo mchina nk watalazimisha kufilisi vitu au rasilimali zetu. Amka acha uboya.Bajeti gani hio, mnajua hao magharibi wanawadai bei gani?? Hizi hela za bajeti unafkri hao magharibi wanawapa bure, kaa ukisifia bajeti wakati wenzako wanatafuna hela, Bora hizo bank za China wanajenga miundombinu thn inajilipa wenyewe baada ya kipindi flani, kuchukuliwa kwa uwanja wa ndege ni makosa ya Government zenu na sio China, Lazima itakua mmekiuka mikataba au makubaliano, Kwanza unajua mpaka 2019 Iran ndio nchi ambayo inayoongoza kuwadai deni kubwa ??
Haya bwana umeshinda 🙌😁👍Mz
Hivyo ni.vihela vya kununulia steel wire kwa jimbo moja tu la US. hizo wamekopa kama ushirika tu
Us na ulaya wanasemehe mikopo au sio 😁 unajua wanachukua vitu gani Kama mbadala .for sure you nothing about oil and minerals vampires 👹U.S.A and Europe. Have a nice day siitaji kuendelea kujibizana na weweUshawahi sikia US na ulaya wamechukua uwanja au bandari ya kuidai nchi maskin.?? Wana tabia ya kusamehe mikopo kikubwa uwe tu na ushirika wa kibiashara na wao. Sasa njoo china anataka kuleta mikataba ya kina mangungo karne hii. Mfano nishakupa Zambia wamepokonywa uwanja wa ndege au hujui..? Tumia akili hao waarabu wana faida gani.kwetu zaidi ya kuchimba visima ndio.msaada wa ushirika. Acha ufala elimu tunayosoma waliileta wazungu. Mpaka katiba walitutengenezea afu unajamba ujinga hapa. Nchi zetu hz bila ushirika na ulaya zitateseka saana kwa maana huyo mchina nk watalazimisha kufilisi vitu au rasilimali zetu. Amka acha uboya.
Hayo ni makubaliano mzee wanalosaidia vita kwako. Unataka wakusaidie vita bure.?Us na ulaya wanasemehe mikopo au sio 😁 unajua wanachukua vitu gani Kama mbadala .for sure you nothing about oil and minerals vampires 👹U.S.A and Europe. Have a nice day siitaji kuendelea kujibizana na wewe
hahahaaasasa wakileta dhahabu nyingi sana Duniani supply ikazidi Demand itakuaje bwashee au ndio dhahabu itazidiwa bei na koroshow za magufuli
unatibiwa kwa msaada wa mashoga na umesoma kwa msaada wao , wamebakisha kukutoa linda tu
faida ya plastic economy yaan next 50 yrs inaezekana mtoto akashangaa kuambiwa tuliwai fanya miradi mikubwa ya kiuchumi na chinaUnasema china Hana mchango kwa taifa maskini .unauahakika na ulichoandika mkuu?
China hawatoi bali tunafanya nao biashata ila beberu linasaidiaChina anawajengea mashule, barabara na miundombinu mengine, marekani anawapa vyandarua , condom na ARV , hata akitoa hela dollar kadhaa hamzioni wakubwa wenu wanatafuna kwa sababu ni hela
[emoji116][emoji116]
Huwaga hawatoi misaada kwa masharti hawa wala kujitangazaView attachment 2228576View attachment 2228578
tofautisha misaada ( west ) na biashara ( china )Waswahili wanasema dawa ya deni ni nini?[emoji848]
Ukienda kukopa bank ukishindwa kulipa wanafanya nini?[emoji848]
USD 30 trl ndio jumla ya deni Zima la USA bado unasema ni fedha ndogo? Kwa kigezo kipi?Mz
Hivyo ni.vihela vya kununulia steel wire kwa jimbo moja tu la US. hizo wamekopa kama ushirika tu
Kabla ya mawazo yako, wenzio walishakuwa na majibu yote hayo kitambo saana,!1. Utajiri ni nn?
2. Nani ali-set values za hicho kimondo?
3. Nani ananunua material (madini) ya vimondo na kuhifadhi??
4. Hayo madini yanatumika kutengenezea nn hapa duniani??
....................
Najaribu kuwaza tu, kuhusu hayo madini yanayoweza kufanikisha utajiri wa kila binadam kumiliki utajiri kama wa Bill Gates. Hii issue ni kubwa sana. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Mwambie aende mirarani huko akajionee [emoji16][emoji16], maana baada ya hela za wachimbaji kama Serikali inapata hata sent 5 [emoji23]Us na ulaya wanasemehe mikopo au sio [emoji16] unajua wanachukua vitu gani Kama mbadala .for sure you nothing about oil and minerals vampires [emoji83]U.S.A and Europe. Have a nice day siitaji kuendelea kujibizana na wewe