Mabegi ya 'shangazi kaja' marufuku kwenye kwenye treni ya SGR

Hili sura la Gamondi ndio hawataki hivyo vitu!
 
Nakubaliana na uamuz huo kabisa. Mabegi yanayochukua nafasi kubwa na kupunguza uhuru wa msafiri yasiruhusiwe kabisa.
 
nina wasiwasi hii nchi inawezekana tushauzwa kitambo sana, haya masharti hata mganga wa kienyeji hawezi yaweka. Watu tunapanda ndege na shangazi kaja wala hakuna shida 😎 ...ndege na treni lao la mchongo kipi ni heshma?. Viongozi wetu vilaza sana..hawajui hali za wananchi wao?, hawajui maisha ya watanzania kwamba vazi lao kubwa ni YEBOYEBO kama viatu vya kusitiri miguu, mitumba kama nguo rasmi za kuvaa ksitiri miili, vyombo vya plastiki kama vifaa vya kupikia na kutumia majumbani na kubebea vitu....hawajui kwamba asilimia kubwa ya watanzania nimasikini sana.....wanamiliki shangazi kaja kwa (3000), kumiliki begi kwa 30,000 ni changamoto kwao, hawajui?
 
Wanafukuza wateja kwa umaridadi usio na umuhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…