Mabehewa mapya 22 ya reli ya zamani yaanza safari kuelekea Kigoma

Mabehewa mapya 22 ya reli ya zamani yaanza safari kuelekea Kigoma

Hivi katika hizo stesheni huwa hakuna namna ya ujenzi wa platform ili watu wapande treni bila kupanda hivyo vingazi?

Mtu anapanda treni kama anapandisha juu ya 'keria' ya basi za Leyland...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
2.2 Billion per behewa.
Angekuwepo yule mwamba hii nchi ingetikisika aisee 2.2B na Majaliwa anacheka cheka tu. Maana jamaa alichokosea ni ujinga wa kuchukia matajiri na wapinza endapo angejua washenzi na walafi wapo CCM angekuwa lulu ya Watz.
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa zaidi ya miaka 7.
Hakika kigoma imependelewa umeme 100%tangu uhuru na ss usafiri 100%.
 
Kwa hiyo haya sio mabehewa ya umeme.... CCM kwa uwongo ni balaaa
Hapo tatizo siyo serikali, tatizo ni wewe na watanzania wengine kutokuwa na taarifa sahihi. Taarifa zinatolewa lkn vichwani mnakuwa na za kwenu toka vyanzo visivyoeleweka, mwisho wa siku mnajikuta mmeshindwa kuookea taarifa mpya.
Kwa kukusaidia ni kwamba
Mpaka sasa mabehewa yaliyokwishafika ni:
1.Mabehewa 14 kati ya 59 mapya kwa ajiri ya SGR
2. Mabehewa 22 mapya kwa ajiri ya reli ya zamani MGR, haya ndiyo yameanza safari leo kwenda kigoma
Hayo ndiyo mabehewa yaliyonunuliwa mpaka sasa na kufika nchini.
Mabehewa used na vichwa used toka ujerumani bado hayajafika.
Set ya treni za EMU 10 toka Kampuni ya Hyundai Rotem ya Korea kusini bado hazijafika, mkataba wa matengenezo ya treni hizi ni wa muda mrefu
 
yale mabehewa mapya kwahiyo yanatumikaje reli ya kati ambayo sio SGR. mtueleweshe basi.
Sina utalamu na hivyo vitu mkuu nimewahi kupanda mara moja tu train 2018 Dom-Dar na sikutaka tena kurudia kupanda maana ni usumbufu tupu
 
Back
Top Bottom