[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi katika hizo stesheni huwa hakuna namna ya ujenzi wa platform ili watu wapande treni bila kupanda hivyo vingazi?
Mtu anapanda treni kama anapandisha juu ya 'keria' ya basi za Leyland...
Angekuwepo yule mwamba hii nchi ingetikisika aisee 2.2B na Majaliwa anacheka cheka tu. Maana jamaa alichokosea ni ujinga wa kuchukia matajiri na wapinza endapo angejua washenzi na walafi wapo CCM angekuwa lulu ya Watz.2.2 Billion per behewa.
Acha bangiKigoma mabehewa ya treni ya umeme yanafikaje wakati ujenzi wa SGR haujafika Kigoma. Hapa kuna aidha kupigwa au uchawi
Utawafanya nini 2025 na katiba hii mbovu? Acha kujidanganyaMmhhh just mhhh.....tukutane 2025
Tutakuonyesheni shoo ww na fisiemu yenuUtawafanya nini 2025 na katiba hii mbovu? Acha kujidanganya
Anakagua huku ana nyumba yake New York unategemea nini?Haya ndo alienda kuyakagua PM? Hivi wanatuonaga sisi hatuna akili ehee
Hapo tatizo siyo serikali, tatizo ni wewe na watanzania wengine kutokuwa na taarifa sahihi. Taarifa zinatolewa lkn vichwani mnakuwa na za kwenu toka vyanzo visivyoeleweka, mwisho wa siku mnajikuta mmeshindwa kuookea taarifa mpya.Kwa hiyo haya sio mabehewa ya umeme.... CCM kwa uwongo ni balaaa
Kumbe kichwani mtupu [emoji1]Huyu si mpiga domo wa clouds TV
Ova
yale mabehewa mapya kwahiyo yanatumikaje reli ya kati ambayo sio SGR. mtueleweshe basi.Huyu Kadogosa inaonekana kama yupo serious
Sina utalamu na hivyo vitu mkuu nimewahi kupanda mara moja tu train 2018 Dom-Dar na sikutaka tena kurudia kupanda maana ni usumbufu tupuyale mabehewa mapya kwahiyo yanatumikaje reli ya kati ambayo sio SGR. mtueleweshe basi.