Mabehewa ya treni za safari fupi hayana vitanda, mabehewa ya treni za safari ndefu yana vitanda

Kuna siku mama alisema" tutanunua yaliyotumika ambayo kwa wenzetu hayahitajiki tena(Mitumba) akaongeza japo kwetu yanatufaa na pia tutanunua mapya" Nafikiri haya ndiyo yale used alikuwa anamaanisha so huyo mkurugenzi hasituone hamnazo

Hayo ni used na yamepitwa na wakati

Hayo ni used na yamepitwa na wakati

Sheria hiyo ilipitishwa kwa vitu kama hivyo.
Waliopitisha ndio wanaokwenda kununua, wewe usingepitisha?
 
Kwa Mara ya kwanza najisikia kushika bunduku Na kuitumia kwa wanaotudanganya
 
Hebu fikiria wale ambao hawajawahi kupanda treni kiongozi wa ngazi ya juu nchini anapowaambia mabehewa ya masafa marefu yana hoteli, huyu ataanza kuifananisha hoteli kubwa iliyopo mjini kwake kama vile Dodoma Hotel kisha ataona kuwa serikali imenunua treni nzuri sana bila kujua kile kihoteli ni kibehewa kidogo kinachojitegemea yaani kinaunganishwa na mabehewa mengine endapo kitahitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…