Hivi hawa wafanyakaz wa ndan ndo kusema wao mkataba wao wa kaz hauwaruhusu wao kuwa na mahusiano?
na je tatzo ni mahusiano au ufanis wa utendaj kaz?
kama mahusiano yao yanaingiliana na ufanisi wao wakaz bas mada ihamie kwenye ufanisi wa kaz na tuangalie njia mbadala itakayo wawezesha wao kufaidi haki zao zamsingi bila kuathir ufanis wao kazini.
Ni kinyume na sheria kumuajiri mtu katika kz ambayo ina mnyima mtu haki zake za msingi.
Nadhan ni wakat muafaka sasa tume za haki za binadamu zianze kuangazia hili jambo, haiwezekan una muajili mtu afu et hutak awe na mahusiano, hicho kitu hata wewe mwenyewe huwez, ni lazma tuamini kwamba mabek tatu ni wafanyakaz na sio watumwa.
kama wafanya kaz wa fan zingne wanaruhusiwa kuwa na uhuru wa mahusiano na mawasiliano kwann hawa mabeki tatu wanazuiwa?
Naomba kuwasilisha⚖⚖⚖