Mabeki tatu na simu ni majanga

Mabeki tatu na simu ni majanga

Mnunulie simu ya mezani alafu unai funga hakuna kupiga sim atakuwa ana pokea tuu
Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa tigo.
Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa?
Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani.wanaongeaga na Nani jamani?
 
Kuna moja nimetoka kumtafuna sasa iv watam hawa kuku wakienyeji asikwambie mtu yani rahatuu
 
Katika mada ambayo imenigusa mwaka huu ni hii.....
Aisee hilo tatizo la simu kwa wadada wa kazi shida,kama huyu wa kwangu anakuwa busy na simu hadi saa 7 za usiku yaani muda wote ni simu tu hamna kingine anachojua alafu anapata uhuru kwasabb watoto wangu wote wanakuwa shule mpaka jioni saa10 nahisi uhuru huu unamfanya awe chizi kabisa
 
Pole mkuu.kuna watu humu wanapinga kila kitu eti ooh tunawatesa.kuna mtu anamtesa mtu miaka hii?
Wanaongea usiku kucha hata mchana kazi hafanyi vizuri tena
 
Write your reply...waacheni kuwabana sisi wazee kukaa maskani ndo tunaponea hapo msiwafukuze wala kuwapokonya simu mtatukatili Sana maana mkienda makazini chai tunaponea majumban kwenu hata cha mchana tutaishije embu achen hizo sku hizi watu hawapand pikipiki boda hazituletei ela kama zamani

tena ngoja nikale wali na nyama ya bata maana ka house gelo nyumba Fulani kameni text nikale msosi ushaiva kitambo nilikapa ka hotpot kangu kaniwekee kwel hawa viumbe wanamapenz ya dhat
 
Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa tigo.
Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa?
Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani.wanaongeaga na Nani jamani?
Nunua ttcl ya mezani mkuu
 
nao ni binadamu,, huwa tunawapa uhuru??....hivi wenzetu wa nchi za huko mbele, wamewezaje ktk hili?? haya ndo ya kujifunza sio kuigiza kukazana na mavazi.....
Wa majuu huwezi kumudu full time yaani mshahara wake ukimlipa na wako unaisha kabisa hakibaki kitu
Wao wamesomea hii kazi na kumuajiri kiwango chake bora uhangaike na wanao tu
 
Hili shangingi[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]mpk block
Mimi wangu ananiblock. Kuna kipindi kama 3 days nikimpigia yuko busy. Nikajua atakua busy kwenye kuongea kama kawaida yake. Kushika simu yake nitafute tatizo si ndo nikajua kaniblock. Nikatoa block Jana nampigia tena yuko busy. Nilikasirika ila sikua na namna maana haiwezekani aniblock bahati mbaya ni kwamba hataki simu zangu
 
Dawa ni moja tu, kwa yeyote yule alie mwanaume ukiweka mdada wa kazi anza kumgonga mwenyewe kabla hivi vinyoa viduku hawajaanza kumpelela sokoni maana hapo wakishaanza kumgonga tu ndio basi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi wangu ananiblock. Kuna kipindi kama 3 days nikimpigia yuko busy. Nikajua atakua busy kwenye kuongea kama kawaida yake. Kushika simu yake nitafute tatizo si ndo nikajua kaniblock. Nikatoa block Jana nampigia tena yuko busy. Nilikasirika ila sikua na namna maana haiwezekani aniblock bahati mbaya ni kwamba hataki simu zangu
[emoji16]
 
Katika mada ambayo imenigusa mwaka huu ni hii.....
Aisee hilo tatizo la simu kwa wadada wa kazi shida,kama huyu wa kwangu anakuwa busy na simu hadi saa 7 za usiku yaani muda wote ni simu tu hamna kingine anachojua alafu anapata uhuru kwasabb watoto wangu wote wanakuwa shule mpaka jioni saa10 nahisi uhuru huu unamfanya awe chizi kabisa
Mimi mdada ni kero kwenye Simu na TV yaani muda mwingi anachat na kuongea kama jana usiku nilirudi nyumbani saa mbili usiku nikaambiw Dada ameend kulala ajisikii vizuri, nikaangalia mpira hadi saa Sita usiku Lakin nikawa nasikia sauti yake anaongea na Simu chumba kwake. TV ndio akiiwasha hata kula anasahau alafu uwa anatazana hadi marudio ya bongo movie. Ila nimemkanya as iweke Chanel zitakazoharibu watoto akili.alafu uwa awafundishwi kibadilisha Chanel
 
Kuna mmoja nilikuwa naye hata ukiwa na wageni sitting room,anakuja kukaa,remote anashika yeye na kuanza kubadili chanel ovyo ovyo..
 
Back
Top Bottom