Mabeki tatu na simu ni majanga

Mabeki tatu na simu ni majanga

nao ni binadamu,, huwa tunawapa uhuru??....hivi wenzetu wa nchi za huko mbele, wamewezaje ktk hili?? haya ndo ya kujifunza sio kuigiza kukazana na mavazi.....
Uhuru gani mkuu unasemea?
 
Na mbaya zaidi majority ni kati ya miaka10-17 lakin anafanyishwa kazi za kiutu uzima..hawaendelezwi wala hamna taasisi ya kuwatetea..akikosea kidogo unawaza kumrukuza badala ya kumwelewesha..all in all kila mtu ataongea lake ila bila kua makini kweli mara nyingi wataishia kushusha manyanyaso kwa watoto wasio na hatia....hv tuwe wawazi angekua mwane anarudi amelewa angemfukuza au amwonye madhara ya anachofanya
Umenielewa vizuri mkuu
Asante
Wengine wanawatuma mpaka taulo ya mzee wakati wao wameshika remote
Wanataka kila kitu mtoto wa kazi afanye kutwa kuitwa tu ni kama watumwa na vijakazi tu
Mshahara wenyewe kiduchu kisa eti anakula na kulala kwake
 
Uhuru gani mkuu unasemea?
weekend waachwe kabisa wawe free,,,kama ni church muende nao pamoja......mruhusu akatembee bila bughudha na kumwambia arudi mapema....sio kila siku kelele tuuuu......wao ni binadamu jamani......wanahitaji kuyafurahia maisha kwa nafasi yao.....
 
Hapo uwe tayari kuajiri aliye na mika 18 au zaidi umlipe mshahara uliopangwa na serikali na stahiki zote muhimu na sio posho na chakula...ndo maana wenzetu wana daycare anamwacha mtoto na kumpitia jioni watanzania hatutaweza
nao ni binadamu,, huwa tunawapa uhuru??....hivi wenzetu wa nchi za huko mbele, wamewezaje ktk hili?? haya ndo ya kujifunza sio kuigiza kukazana na mavazi.....
 
Hapo uwe tayari kuajiri aliye na mika 18 au zaidi umlipe mshahara uliopangwa na serikali na stahiki zote muhimu na sio posho na chakula...ndo maana wenzetu wana daycare anamwacha mtoto na kumpitia jioni watanzania hatutaweza
yees, ambaye ni mtu mzima anaejielewa...so tusilalamike sbb tunaajiri vitoto visivyoweza kujitambua na kuvijazia kazi kibao....kama kweli unahitaji msaidizi ambae hutokuwa na hofu ukiwa kazini....hakikisha na stahiki zake anazipata kwa wakati...tena bila kelele....ila wake zetu wenyewe ni visirani balaaa.....
 
weekend waachwe kabisa wawe free,,,kama ni church muende nao pamoja......mruhusu akatembee bila bughudha na kumwambia arudi mapema....sio kila siku kelele tuuuu......wao ni binadamu jamani......wanahitaji kuyafurahia maisha kwa nafasi yao.....
Mbona tunawaruhusu mkuu hata out tunatoka nao fresh tu
 
Na mbaya zaidi majority ni kati ya miaka10-17 lakin anafanyishwa kazi za kiutu uzima..hawaendelezwi wala hamna taasisi ya kuwatetea..akikosea kidogo unawaza kumrukuza badala ya kumwelewesha..all in all kila mtu ataongea lake ila bila kua makini kweli mara nyingi wataishia kushusha manyanyaso kwa watoto wasio na hatia....hv tuwe wawazi angekua mwane anarudi amelewa angemfukuza au amwonye madhara ya anachofanya
Kweli kabisa na tatizo linakuja kama humsaidii bali kumnyanyasa matokeo yake na anaowafanyia kazi atawadhuru au kuwapa maradhi ya ajabu
Unakuta mtoto kachukuliwa bado mdogo mpaka aliowalea wanaolewa yeye yupo tu
Inasikitisha sana
 
Mbona tunawaruhusu mkuu hata out tunatoka nao fresh tu
Stahiki zao mnawapa kwa wakati......wana mda wa kupumzika.... umeshawahi kumletea hata kazawadi siku moja,,,kma unavyoletea wanao??? umri wake jee....anaweza kuhimili majukumu......uko nae kama mfanyakazi au mmoja wa wanafamilia......
 
Mmoja nilimfuatilia mawasiliano yake baada ya kugundua kuna kijana anakujaga nyumbani mida watoto wameenda shule, huyo Dogo alikuwa anasoma Chuo flani hapa Dar tukitoka nae anakuja kupiga msosi, nikaamua kumtegea mtego dogo siku amekuja nikamkamata, kilichomtokea anakijua mwenyewe maana alishahama mji alirudi kwao morogoro.
Hehe ulimfanyaje dogo wa watu
 
Kati ya wafanyakazi wanaosongwa na mawazo ni hawa.

Kina mama wengi hamuwatendei haki hawa wafanyakazi.

Wengi wanahadaika kwa sababu ya upweke wanaokutana nao ndani ya nyumba...hawajioni sehemu ya familia...hawapati furaja na furaha ndani ya nyumba...hawapati upendo ndani ya nyumba kifuatacho wanatafuta mtu atakayewapa wakikosacho...ndiyo maana hawa wadada wana mapenzi ya hisia kali saana kwa ambaye ashakuwa nao kwenye mahusiano atasimulia.

Hii haina maana hawapo wenye tabia mbaya.
 
nao ni binadamu,, huwa tunawapa uhuru??....hivi wenzetu wa nchi za huko mbele, wamewezaje ktk hili?? haya ndo ya kujifunza sio kuigiza kukazana na mavazi.....
Mkuu hawa viumbe hata uwape uhuru wanamambo yao haki yanauzi mno omba yasikukute.
 
Nao ni binadam kama binadam wengine, wana tabia tofauti tofauti kutokana na mazingira wanayotoka. Tunasahau kwamba nao bado wana mihemko kama binadamu wengine. Mara nyingi wamekuwa wakitumika vibaya, hata kingono na familia, wanakuwa sehemu ya watoto, ndugu wa kiume kujifunzia kwao na mara nyingine hata baba wenye nyumba kuwatumia. Na hakuna formula, wapo wanaoteswa na bado wakaishi muda mrefu na wanaowatesa, na pia wapo wanaopendwa kama sehemu ya familia na bado wasikae. Cha msingi tukumbuke kwamba nao ni binadam. Wengine wanasifika kuwa wazuri kitandani kuliko hata... Ni utani tu.[emoji3]
 
Dah mkuu hilo tatizo ni janga la kitaifa juzi nimemtimua mfanyakazi wangu sikukuu ya pasaka tulimwambia twende tukale sikukuu kwa wazaz wangu kagoma sasa mida ya sa nne usiku narudi home nakuta hayupo karudi za tano usiku kalewa chakali kilichofata nikamtimua,, hapo kwenye simu ndo usiseme yani kila mda yupo bize ukiangalia simu yake imejaa no za wanaume

Kuna shida gani beki tatu kwenda kuliwa huko nje?naye ana haki ya kupata gegedo
 
Mimi wangu ananiblock. Kuna kipindi kama 3 days nikimpigia yuko busy. Nikajua atakua busy kwenye kuongea kama kawaida yake. Kushika simu yake nitafute tatizo si ndo nikajua kaniblock. Nikatoa block Jana nampigia tena yuko busy. Nilikasirika ila sikua na namna maana haiwezekani aniblock bahati mbaya ni kwamba hataki simu zangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ni komesha aisee
 
nawaelewa vizuri sana, ni changamoto sana ktk malezi ya watoto wetu....enzi zile walikuwa wakina mangi duka na wale wa urembo na mboga ndio tatizo, now days kuna hawa bodabodas...hatariii....ukitoka na yeye anaingia.... solution nini kifanyike.....na ukiwa na watoto under 5yrs huna amani kabisa
 
Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa tigo.
Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa?
Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani.wanaongeaga na Nani jamani?
hapo anakuwa anawalezea wanakijiji wenzake kuhusu tabia zako.
 
Back
Top Bottom