Tamati
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,085
- 1,960
Kwa jinsi unavyojipambanua humu unaonekana hauna mtoto, ndio maana nimekuuliza hivyoUnanionaje mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa jinsi unavyojipambanua humu unaonekana hauna mtoto, ndio maana nimekuuliza hivyoUnanionaje mkuu?
Wapi nilisema sina mtoto mkuu? Inaelekea umenijua juzi maana kipindi najifungua nilipost humu hadi picha nikiwa lebaKwa jinsi unavyojipambanua humu unaonekana hauna mtoto, ndio maana nimekuuliza hivyo
Yaani kweli kabisa dada akishakuwa na simu hafai tenaMostly wanaongea na bodaboda wanaotuletea vitu majumbani,lakini pia hiyo simu ndio mara nyingi inakuwa ticket ya kutodumu kwenye kazi...
Sawa mkuu, sikubahatika kuuona huo uziWapi nilisema sina mtoto mkuu? Inaelekea umenijua juzi maana kipindi najifungua nilipost humu hadi picha nikiwa leba
Kwanza wanakuja wakiwa wadogo na hawana qualifications zozote za kazi yaani hawakuzisomea na huenda hawakulea watotoTunawakosea Nini mkuu?
Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa tigo.
Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa?
Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani.wanaongeaga na Nani jamani?
Wanahadaiwa kirahisi sana hawa mabinti..utakuta kwenye contact zake ni namba za wasela na bodaboda tupu hapo mtaani..
Mi kuna wa mmoja aliwahi kumnunulia simu basi asubuhi mpaka usiku simu inaita tu,kila saa mbio chumbani akimaliza anatoka.mwisho kazi zikamshinda akaomba karudi kwao
Kama mtaishi nao kama watoto wenu ingekuwa vizuri na heshima ingekuwepo
Ahahaaa alikuwa na umri gani huyo mnywa viroba?Dah mkuu hilo tatizo ni janga la kitaifa juzi nimemtimua mfanyakazi wangu sikukuu ya pasaka tulimwambia twende tukale sikukuu kwa wazaz wangu kagoma sasa mida ya sa nne usiku narudi home nakuta hayupo karudi za tano usiku kalewa chakali kilichofata nikamtimua,, hapo kwenye simu ndo usiseme yani kila mda yupo bize ukiangalia simu yake imejaa no za wanaume
Nani Ana muda wa kumtesa mtu mkuu? Tunaishi nao vizuri tu wenyewe mawenge yaoUsiseme ivyo msichana wa home yani tumempa uhuru sana yani kama ndugu wa damu na mpaka majirani wanajua kuwa ni ndugu sasa juzi juzi karudi za tano usiku kalewa bwii wakati wenye nyumba hawanywi hata nilimtimua kesho yake akafilie mbele
Ahahaaa alikuwa na umri gani huyo mnywa viroba?
Kwa hiyo wamehamia kwenye simu kutoka kwenye TV.Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa tigo.
Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa?
Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani.wanaongeaga na Nani jamani?
Nani Ana muda wa kumtesa mtu mkuu? Tunaishi nao vizuri tu wenyewe mawenge yao
Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa tigo.
Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa?
Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani.wanaongeaga na Nani jamani?
Safi sana maamuzi mazuriUsiseme ivyo msichana wa home yani tumempa uhuru sana yani kama ndugu wa damu na mpaka majirani wanajua kuwa ni ndugu sasa juzi juzi karudi za tano usiku kalewa bwii wakati wenye nyumba hawanywi hata nilimtimua kesho yake akafilie mbele
Mdogo Bado. Alipewa kitoko au burudani huyoHahaha ni mkubwa tu miaka 17 aisee
Mimi wangu ananiblock. Kuna kipindi kama 3 days nikimpigia yuko busy. Nikajua atakua busy kwenye kuongea kama kawaida yake. Kushika simu yake nitafute tatizo si ndo nikajua kaniblock. Nikatoa block Jana nampigia tena yuko busy. Nilikasirika ila sikua na namna maana haiwezekani aniblock bahati mbaya ni kwamba hataki simu zangu