Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ni utumwa mamboleo huoyes ndio tufanye kazi kwa bidii na tuache kuajiri vitoto (12 - 17), tunavitumikisha balaa.......kuna taasisi ipo,,, just for hire wasaidizi...
Ni kweli iyo beki tatu ni kubwa sana ndio mana nimemtimua aende akapange aendelee na maisha yakeMkuu usitudharirishe wanyoa viduku,,,, tunakuwa na akil tukiwa na vijogoo kwa kichwa ujue,,
Alaf iyo haus gelo mbn kubwa kabisa, tunampa basic need ambayo hapo hapati
POINTHivi hawa wafanyakaz wa ndan ndo kusema wao mkataba wao wa kaz hauwaruhusu wao kuwa na mahusiano?
na je tatzo ni mahusiano au ufanis wa utendaj kaz?
kama mahusiano yao yanaingiliana na ufanisi wao wakaz bas mada ihamie kwenye ufanisi wa kaz na tuangalie njia mbadala itakayo wawezesha wao kufaidi haki zao zamsingi bila kuathir ufanis wao kazini.
Ni kinyume na sheria kumuajiri mtu katika kz ambayo ina mnyima mtu haki zake za msingi.
Nadhan ni wakat muafaka sasa tume za haki za binadamu zianze kuangazia hili jambo, haiwezekan una muajili mtu afu et hutak awe na mahusiano, hicho kitu hata wewe mwenyewe huwez, ni lazma tuamini kwamba mabek tatu ni wafanyakaz na sio watumwa.
kama wafanya kaz wa fan zingne wanaruhusiwa kuwa na uhuru wa mahusiano na mawasiliano kwann hawa mabeki tatu wanazuiwa?
Naomba kuwasilisha⚖⚖⚖
Mkuu ulikua hutaki house gelo wako agegedwe?,yeye ugwadu wake aumalizie wapi sasa?Dah mkuu hilo tatizo ni janga la kitaifa juzi nimemtimua mfanyakazi wangu sikukuu ya pasaka tulimwambia twende tukale sikukuu kwa wazaz wangu kagoma sasa mida ya sa nne usiku narudi home nakuta hayupo karudi za tano usiku kalewa chakali kilichofata nikamtimua,, hapo kwenye simu ndo usiseme yani kila mda yupo bize ukiangalia simu yake imejaa no za wanaume