Black Legend
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 174
- 301
Mwaka 2023 na mwaka 2024, mabenki mengi yalitangaza kupata super profits na yakatoa gawio kubwa kwa wanahisa. Cha ajabu saana, pamoja na kutangaza super profits na ongezeko la mitaji ya mabenki, mabenki hayo yameenda mbali kwa kuongeza riba juu zaidi za mikopo ambayo imekuwa maumivu makubwa kwa wakopaji.
Serikali ni kwa ajili ya wananchi, lakini yanayotokea maonezi yabayoketa maumivu kwa wananchi, basi ni jukumu la serikali kuingilia kati.
MWIGULU NCHEMBA Waziri wa fedha amekuwa kimya saaana kwenye maswala kama haya,haongei wala kuonesha kuguswa na maumivu haya ya watanzania.
Tunaomba Rais wa NCHI aiangalie kwa jicho la pekee wizara ya fedha na utendaji wake. Kuna mengi saaana ya kuvunja moyo katika wizara hii.
TANZANIA NI YETU SOTE.🇹🇿💪🏽
Soma Pia: Festo Sanga awalilia Watumishi Nchini, riba za Mabenki zinawaumiza