Mabenki yamepandisha saana riba za mikopo Serikali ipo?

Black Legend

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
174
Reaction score
301
Mwaka 2023 na mwaka 2024, mabenki mengi yalitangaza kupata super profits na yakatoa gawio kubwa kwa wanahisa. Cha ajabu saana, pamoja na kutangaza super profits na ongezeko la mitaji ya mabenki, mabenki hayo yameenda mbali kwa kuongeza riba juu zaidi za mikopo ambayo imekuwa maumivu makubwa kwa wakopaji.

Serikali ni kwa ajili ya wananchi, lakini yanayotokea maonezi yabayoketa maumivu kwa wananchi, basi ni jukumu la serikali kuingilia kati.

MWIGULU NCHEMBA Waziri wa fedha amekuwa kimya saaana kwenye maswala kama haya,haongei wala kuonesha kuguswa na maumivu haya ya watanzania.

Tunaomba Rais wa NCHI aiangalie kwa jicho la pekee wizara ya fedha na utendaji wake. Kuna mengi saaana ya kuvunja moyo katika wizara hii.

TANZANIA NI YETU SOTE.🇹🇿💪🏽

Soma Pia: Festo Sanga awalilia Watumishi Nchini, riba za Mabenki zinawaumiza
 
Mwaka 2023 na mwaka 2024, mabenki mengi yalitangaza kupata super profits na yakatoa gawio kubwa kwa wanahisa. Cha ajabu saana, pamoja na kutangaza super profits na ongezeko la mitaji ya mabenki, mabenki hayo yameenda mbali kwa KUONGEZA RIBA JUU ZAIDI ZA MIKOPO AMBAYO IMEKUWA MAUMIVU MAKUBWA KWA WAKOPAJI.

Serikali ni kwa ajili ya wananchi, lakini yanayotokea maonezi yabayoketa maumivu kwa wananchi, basi ni jukumu la serikali KUINGILIA kati.

MWIGULU NCHEMBA WAZIRI WA fedha amekuwa kimya saaana kwenye maswala kama haya,haongei wala kuonesha kuguswa na maumivu haya ya watanzania.

Tunaomba Rais wa NCHI aiangalie kwa jicho la pekee wizara ya fedha na utendaji wake. Kuna mengi saaana ya kuvunja moyo katika wizara hii.

TANZANIA NI YETU SOTE.🇹🇿💪🏽
Ktk uchumi ukiona riba zimepanda basitambuwa bank reserves bot zimepanda
Pili serikali imelamba pesa yakutosha kutoka kwa mabank at low rates as result bank hazina ukwasi kuwaudumia wateja wadogo na kati ambao pia wanahitaji ukwasi from bank
Tatu inflation imeongezeka jambo lina triger bot kupandisha interest rate ili watu wasikope kirahisi.
Nne fx hamna ina fanya pesa yetu shuka samani while bop hai balance
Mtaamua wenyewe 2025
 
Hali ni mbaya saaana, lakini MWIGULU NCHEMBA analipa wachezaji Singida Black Stars mabilion ya fedha😂
 
Ktk uchumi ukiona riba zimepanda basitambuwa bank reserves bot zimepanda
Pili serikali imelamba pesa yakutosha kutoka kwa mabank at low rates as result bank hazina ukwasi kuwaudumia wateja wadogo na kati ambao pia wanahitaji ukwasi from bank
Tatu inflation imeongezeka jambo lina triger bot kupandisha interest rate ili watu wasikope kirahisi.
Nne fx hamna ina fanya pesa yetu shuka samani while bop hai balance
Mtaamua wenyewe 2025
Pesa yetu inazidi kushuka sana dhidi ya dollar sijui Nini kifanyike
 
Back
Top Bottom