Mabere Marando afunguka kujiuzulu Usalama wa Taifa

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Published on 5 Apr 2014 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mwanasheria maarufu nchini, Mabere Marando alipotembelea chumba cha habari cha Global Publishers na kufunguka mambo mbalimbali. Msikilize: LIVE CHUMBA CHA HABARI: MWANASIASA / WAKILI MABERE MARANDO AFUNGUKA - YouTube LIVE CHUMBA CHA HABARI: MWANASIASA / WAKILI MABERE MARANDO AFUNGUKA
MADA

  • USALAMA WATAIFA
  • UVUMI KUHUSU USALAMA WA TAIFA
  • NCCR MAGEUZI
  • BUNGE LA KATIBA
  • JARIBIO LA MAPINDUZI 1982
  • MWANASHERIA WACHADEMA
  • NGUZA VIKING BABU SEYA
:
 
Mabere ni takataka iliyotupwa jalalani, anatafuta umaarufu wa chee kupitia neno usalama wa taifa akidhani atatutisha tumuone wa maana
 
Marando alifukuzwa kama mbwa kwa tabia mbaya na utovu wa nidham, aliasi mapambano ya vita kati ya tz na uganda na inasemekana hakuwahi kuingia ofisi za usalama wala kufanya hiyo kazi, alichukuliwa kutoka chuoni moja kwa moja kwenda vitani, yakamshinda kule akatoroka na ndio akafutwa usalama. Kama uongo aje ajibu hii post
 
Unakurupuka wewe

Fungua uzi sio kujaza save ya jf ukiambiwa nenda shule unabisha.just easy fungua uzi kila siku unabishana Lol
 
#Kumbe alijuhudhuru usalama wa Taifa kwa sababu hakuwa na kadi ya CCM
#Na kumbe yeye ndo alichaguliwa kuwa mwanasheria mkuu wa CHADEMA kwa ajili ya kumshughulikia Zitto ila na penyewe pia akachomoa
 
Last edited by a moderator:
Hayaaaaa, tumesikiaaaaaa, sasa sababu ya kesi ya babu seya hatujasikiaaaaaaaaaaa
 
duh, kumbe watumishi wa umma pia wanajiuzulu kama viongozi wa umma wa kuchaguliwa au kuteuliwa? sijawahi kusikia hii kitu naona kama ni mpya hivi. au mtoa mada ameshindwa kutofautisha kati ya kufukuzwa, kuacha na kujiuzulu?
maswali muhimu ya kujiuliza dhidi ya post ya mtoa hoja ni kuwa, kuwahi kufanya kazi au kutumiwa na idara ya usalama wa taifa ni hoja ya msingi ya kujiimarisha kisiasa kwa mabere marando? je kama kweli alikuwa anafanya kazi TISS anaijua vizuri misingi ya usiri? maana mtu yeyote akisikia TISS anajua kuna usiri mkubwa sana na ni watu smart na si waropokaji na wa kujikweza kama mabere marando. nawaza tu wadau.
 
1.....Marando alifukuzwa kama mbwa kwa tabia mbaya na utovu wa nidham,

2....aliasi mapambano ya vita kati ya tz na uganda

3... Inasemekana hakuwahi kuingia ofisi za usalama wala kufanya hiyo kazi,

4... alichukuliwa kutoka chuoni moja kwa moja kwenda vitani,

5...yakamshinda kule akatoroka na

6...ndio akafutwa usalama

7...Kama uongo aje ajibu hii post

U have failed trust test because u have contradictory statements. Check statement 3 and 6. So are one untrusted moron who no one will give a damn listening. So go to toilet first and come again with another pis sh!t if you wish.
 
duh, kumbe watumishi wa umma pia wanajiuzulu kama viongozi wa umma wa kuchaguliwa au kuteuliwa? sijawahi kusikia hii kitu naona kama ni mpya hivi. au mtoa mada ameshindwa kutofautisha kati ya kufukuzwa, kuacha na kujiuzulu?
maswali muhimu ya kujiuliza dhidi ya post ya mtoa hoja ni kuwa, kuwahi kufanya kazi au kutumiwa na idara ya usalama wa taifa ni hoja ya msingi ya kujiimarisha kisiasa kwa mabere marando? je kama kweli alikuwa anafanya kazi TISS anaijua vizuri misingi ya usiri? maana mtu yeyote akisikia TISS anajua kuna usiri mkubwa sana na ni watu smart na si waropokaji na wa kujikweza kama mabere marando. nawaza tu wadau.

Nami pia nawaza hivyo hivyo
 
Marando alifukuzwa kama mbwa kwa tabia mbaya na utovu wa nidham, aliasi mapambano ya vita kati ya tz na uganda na inasemekana hakuwahi kuingia ofisi za usalama wala kufanya hiyo kazi, alichukuliwa kutoka chuoni moja kwa moja kwenda vitani, yakamshinda kule akatoroka na ndio akafutwa usalama. Kama uongo aje ajibu hii post

Aliyemchukua moja kwa moja naye ni punguwani
 
Marando alifukuzwa kama mbwa kwa tabia mbaya na utovu wa nidham, aliasi mapambano ya vita kati ya tz na uganda na inasemekana hakuwahi kuingia ofisi za usalama wala kufanya hiyo kazi, alichukuliwa kutoka chuoni moja kwa moja kwenda vitani, yakamshinda kule akatoroka na ndio akafutwa usalama. Kama uongo aje ajibu hii post

Mkuu naomba kwanza nikusalimu kwani hata ukiwa na mzazi mwendawazimu lazima umuamkie.Samahani na pole kwa kuwa mlemavu wa ujinga ukiwa na negative logical thinking!Kama hakuwahi kufanya kazi usalama wa Taifa alifukuzwaje,je inawezekana mtu ambaye hajaajiriwa kufukuzwa kwenye ajira?Au wewe unaweza kufukuzwa ubunge wakati si m bunge?Akili za kuokoteza izi ndo zinakufanya ushindwe kujitambua hata jinsia yako jambo ambalo ni hatari hata kwa nafsi yako.Pia kufanya kazi TISS siyo kwamba ni sifa pekee kuwa wewe ni exeptional hizo nafasi si za wenye vipaji kuliko wengine kama halmashauri ya tui lilojaa kichwani kwako linavyokudanganya.Ukitaka mengine kuhusu hao nitakujuza.
 
Published on 5 Apr 2014 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mwanasheria maarufu nchini, Mabere Marando alipotembelea chumba cha habari cha Global Publishers na kufunguka mambo mbalimbali. Msikilize: LIVE CHUMBA CHA HABARI: MWANASIASA / WAKILI MABERE MARANDO AFUNGUKA - YouTube LIVE CHUMBA CHA HABARI: MWANASIASA / WAKILI MABERE MARANDO AFUNGUKA
MADA

  • USALAMA WATAIFA
  • UVUMI KUHUSU USALAMA WA TAIFA
  • NCCR MAGEUZI
  • BUNGE LA KATIBA
  • JARIBIO LA MAPINDUZI 1982
  • MWANASHERIA WACHADEMA
  • NGUZA VIKING BABU SEYA
:

- Hivi Marando ni nani kwenye hili Taifa?

Le Mutuz
 
Marando hakuwa TISS, TISS ni taasisi mpya iliyoanza 1998 , alikuwa Idara ya Usalama wa Taifa, ambayo haikuwa hata na sheria yake.....kama jina linavyosema, ilikuwa ni Idara tu chini ya ofisi ya raisi

duh, kumbe watumishi wa umma pia wanajiuzulu kama viongozi wa umma wa kuchaguliwa au kuteuliwa? sijawahi kusikia hii kitu naona kama ni mpya hivi. au mtoa mada ameshindwa kutofautisha kati ya kufukuzwa, kuacha na kujiuzulu?
maswali muhimu ya kujiuliza dhidi ya post ya mtoa hoja ni kuwa, kuwahi kufanya kazi au kutumiwa na idara ya usalama wa taifa ni hoja ya msingi ya kujiimarisha kisiasa kwa mabere marando? je kama kweli alikuwa anafanya kazi TISS anaijua vizuri misingi ya usiri? maana mtu yeyote akisikia TISS anajua kuna usiri mkubwa sana na ni watu smart na si waropokaji na wa kujikweza kama mabere marando. nawaza tu wadau.
 
Marando alifukuzwa kama mbwa kwa tabia mbaya na utovu wa nidham, aliasi mapambano ya vita kati ya tz na uganda na inasemekana hakuwahi kuingia ofisi za usalama wala kufanya hiyo kazi, alichukuliwa kutoka chuoni moja kwa moja kwenda vitani, yakamshinda kule akatoroka na ndio akafutwa usalama. Kama uongo aje ajibu hii post

nina waiwasi na umri wako, kwani vita ya kagera na njama ya mapinduzi kipi kilitangulia? Kama alikuwa kamanda mwaka 1982, alianzaje kuwa kamanda huku katimuliwa 1979! au unajifurahisha tuu?
 
U have failed trust test because u have contradictory statements. Check statement 3 and 6. So are one untrusted moron who no one will give a damn listening. So go to toilet first and come again with another pis sh!t if you wish.

he doesnt know what he is thinking! you are really introspective!
 
Back
Top Bottom