Mabere Marando afunguka kujiuzulu Usalama wa Taifa

Namuunga mkono Mabere Marando jinsi watu wanavyoona malumbano bungeni wanadhani ni kupoteza muda! Bunge lenye afya ni lile lenye malumbano mazito kwa manufaa ya taifa.

Naona bado wananchi wengi wamejaa ushamba wa bunge lilokuwa na limejaa CCM kwa asilimia 99%.Watu wenye itikadi tofauti lazima walumbane na nchi zingine hadi ngumi zinawaka!
 
- Hivi Marando ni nani kwenye hili Taifa?

Le Mutuz

Ni mtanzania mwenye haki ya kuishi,kuheshimiwa na kuthaminiwa kama wewe na mimi.Hauhutaji kuwa Rais,mbunge,Spika nk.ili upate heshima,unahitaji kuwa binadamu tu ili upewe heshima.
 
Muulize mzee wako hapo nyumbani, si nasikia bado unakaa kwake!

You seem to be wise. And I usually talk to wise people.

Back to topic,

Swali ambalo Le Mutuz ameuliza sio kwamba lina lengo la kutaka kujua Marando ni nani, la hasha, bali lina lengo la kusema kuwa Marando is simply a no body. And that's a fact.
 
Mabere ni takataka iliyotupwa jalalani, anatafuta umaarufu wa chee kupitia neno usalama wa taifa akidhani atatutisha tumuone wa maana

Inasikitisha kwa kuona watu wanauwezo wa kuthalilisha wengine kwa sababu tu wanaitikadi tofauti nao.Hebu tuacheni hakuna binadamu aliyetakakata,hata maiti huwezi kuiita takataka.Badilika kaka,huyu ni binadamu kama wewe na mimi tuheshimiane hata kama itikadi zetu ni tofauti.
 
Unajua tofauti kati ya FACT na OPINION? Nyie watu mmesoma wapi nyie?
 
Ni mtanzania mwenye haki ya kuishi,kuheshimiwa na kuthaminiwa kama wewe na mimi.Hauhutaji kuwa Rais,mbunge,Spika nk.ili upate heshima,unahitaji kuwa binadamu tu ili upewe heshima.

Respect is earned. It's not something that u get for free. So, not every one deserves to be respected simply because one is a human.

As far as I know, Marandu does not deserve to be respected.
 
At least that is AS FAR AS U KNOW.
 
imeishia pale kwenye maoni yake kuhusu ile kesi ya babu seya!!!

...."it was fabricated case, sababu za fabrication zipo...."

duh !!!
 
tazameni macho yake vizuri na movements zake wakati akiongea mtapata majibu huyu bwana ni nani....
 
You seem to be wise. And I usually talk to wise people.

Back to topic,

Swali ambalo Le Mutuz ameuliza sio kwamba lina lengo la kutaka kujua Marando ni nani, la hasha, bali lina lengo la kusema kuwa Marando is simply a no body. And that's a fact.

Kama yalivyo ma ccm
 
Respect is earned. It's not something that u get for free. So, not every one deserves to be respected simply because one is a human.

As far as I know, Marandu does not deserve to be respected.

just as you
 
Mabere ni takataka iliyotupwa jalalani, anatafuta umaarufu wa chee kupitia neno usalama wa taifa akidhani atatutisha tumuone wa maana

Takataka ni wewe unayefanywa mtumwa na ccm kwa buku saba,nyie ccm huwa hamna hoja kabisa!mtu katoa maelezo yake,jibu basi kulingana na hayo maelezo,ubaongea pumba tu
 
Marando ni kati ya watu mashuhuri sana,mpaka Mkapa alimuheshimu.Alimwita mahakamani kwenye kesi ya Prof Mahalu,akaja.Angefaa kuwa rais wa sasa.
 
Respect is earned. It's not something that u get for free. So, not every one deserves to be respected simply because one is a human.

As far as I know, Marandu does not deserve to be respected.

If he does'nt deserve, then you don't deserve too
 
Inasikitisha kwa kuona watu wanauwezo wa kuthalilisha wengine kwa sababu tu wanaitikadi tofauti nao.Hebu tuacheni hakuna binadamu aliyetakakata,hata maiti huwezi kuiita takataka.Badilika kaka,huyu ni binadamu kama wewe na mimi tuheshimiane hata kama itikadi zetu ni tofauti.

kucomment kwa style hii mm nakuita....utumizi wa hekima(kutafakri kwanza kabla ya kunena au kucomment ndo huku!).Hebu basi na sote tuwe wenye hekima waungwana!
 
Back
Top Bottom