Mabest hawa nawafananisha kama Bonnie & Clyde

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
IMG_8863.jpeg

Hawa mabest wameshibana sana kama ilivyokuwa kwa Bonnie & Clyde.
 
Hivi hao si inasemekana ni mtu na nanii yake............Soudy Brown anasema "Inasemekana lakini"🤪
Kuna siku twitter, miss bulaya alipost sebule yake lakini watu walimshambulia kwa sababu tu kulikuwa na picha ya miss mdee. Watu wakahoji ni urafiki gani wa namna hiyo

Binafsi ukiniuliza naona wao ndio wanajua ni nini kinaendelea kati yao lakini pia bado naamini kwenye true friendships japo siku hizi ni kama zinapotea
 
Tubakie hapo hapo kwenye "inasemekana lakini"......
 
Kuna siku twitter, miss bulaya alipost sebule yake lakini watu walimshambulia kwa sababu tu kulikuwa na picha ya miss mdee. Watu wakahoji ni urafiki gani wa namna hiyo

Binafsi ukiniuliza naona wao ndio wanajua ni nini kinaendelea kati yao lakini pia bado naamini kwenye true friendships japo siku hizi ni kama zinapotea
Mmmh kwenye sebule kabisa? Aiseeee
 
Bulaya aliagizwa na usalama wa ccm kwenda chadema na akaingie kwenye circle mtu pekee wa kumpitia alikuwa ni mdee na aliweza na ameweza na anaendelea kuweza nje ya hapo hakuna la ziada
Sema ni marafiki hisia zingine ni wewe ndie mwenye tatizo wao wako poa
 
Back
Top Bottom