Kuna wimbo alimshirikisha Jux unaitwa sirudi tena. Chorus yake Ipo hivi kama sijakosea;
" sipotezi masaa, nakimbiza chapaa; kwenye dhiki me sirudi teee (tena na tena, tena na tena)"
Na mwingine unaitwa " baadaye sana"
Sasa mbona karudi kwenye dhiki!
Ana mapenzi ya dhati kwa mkewe... aliimbaga wimbo gani wadau..
Suma ana tatizo la kisaikolojia alishawai kuingiliwa kinyume na maumbile. Ni kama kama kachanganyikiwa na maisha.
Hhhhhaaa sie tulicheka jana mpaka basii ,umeona insta kina dogy walivyo mremba lemutuz jamani hivi ile sheria haiwez wakamata wale kwa vile wanajifichaa
Kuna wimbo alimshirikisha Jux unaitwa sirudi tena. Chorus yake Ipo hivi kama sijakosea;
" sipotezi masaa, nakimbiza chapaa; kwenye dhiki me sirudi teee (tena na tena, tena na tena)"
Na mwingine unaitwa " baadaye sana"
Aiseh! Aliimba kwenye dhiki harudi tena!!!! Mmmmmh! Ukitoka unamshukuru Muumba na kuom a ulinzi wake......Muumba Baba AWATANGJLIE!!!!
Wee? Suma huyuhuyu?
Suma ana tatizo la kisaikolojia alishawai kuingiliwa kinyume na maumbile. Ni kama kama kachanganyikiwa na maisha.
Duu huyu dada anasumbuliwa nini ,