Mabeste anatuhitaji Wana-JamiiForums

Mabeste anatuhitaji Wana-JamiiForums

Kuna wimbo alimshirikisha Jux unaitwa sirudi tena. Chorus yake Ipo hivi kama sijakosea;
" sipotezi masaa, nakimbiza chapaa; kwenye dhiki me sirudi teee (tena na tena, tena na tena)"
Na mwingine unaitwa " baadaye sana"

Sasa mbona karudi kwenye dhiki!
 
Sasa mbona karudi kwenye dhiki!

Hajapenda kuwa kwenye dhiki wala kupitia hayo mapito. Ni mipango tu ya Mungu, na yanaweza kumkuta yeyote yule kati yetu bila kutegemea. So, ashukuriwe tu Mungu hata kwa mapito yake
 
Hajapenda kuwa kwenye dhiki wala kupitia hayo mapito. Ni mipango tu ya Mungu, na yanaweza kumkuta yeyote yule kati yetu bila kutegemea. So, ashukuriwe tu Mungu hata kwa mapito yake

Jamani umepotelea wapiii nimekumissijeeee we na Kim nana Pricenss sayuni mmepoteaa
 
Last edited by a moderator:
pole mabeste pamoja na wife. Mungu awasaidie na haya ni mapito tu yatapita. Hiyo inadhihiridha mapenzi ya kweli uliyonayo juu ya mkeo. Mungu atawajaalia.
 
Jamani umepotelea wapiii nimekumissijeeee we na Kim nana Pricenss sayuni mmepoteaa

Binamu miss u sana tu plus wambea wote wa humu. Nilitingwa hadi basi, Ila ndo nimeanza kurudi hivi. Na nilikuwa najitahidi daily niingie humu kuwasoma, nachekajeeee. Pacha wangu Kim nana sijui yuko wapi na yeye.
Yani hapa bado nacheka binamu yako warumi na umbea wa duka la k - Lynn Hahaha
 
Hhhhhaaa sie tulicheka jana mpaka basii ,umeona insta kina dogy walivyo mremba lemutuz jamani hivi ile sheria haiwez wakamata wale kwa vile wanajifichaa
 
Last edited by a moderator:
Hhhhhaaa sie tulicheka jana mpaka basii ,umeona insta kina dogy walivyo mremba lemutuz jamani hivi ile sheria haiwez wakamata wale kwa vile wanajifichaa

Hahaha sijaona bina, Le mutuz atawatolea Le tamkoz. Si unamjua uncle wako naye hanaga dogo, wanajuana kwa viremba hao
 
Kuna wimbo alimshirikisha Jux unaitwa sirudi tena. Chorus yake Ipo hivi kama sijakosea;
" sipotezi masaa, nakimbiza chapaa; kwenye dhiki me sirudi teee (tena na tena, tena na tena)"
Na mwingine unaitwa " baadaye sana"

Aiseh! Aliimba kwenye dhiki harudi tena!!!! Mmmmmh! Ukitoka unamshukuru Muumba na kuom a ulinzi wake......Muumba Baba AWATANGJLIE!!!!
 
Pole yake jamani.
Mwenyezi Mungu amsaidie!

Mkuu Interest hiyo namba hata kwa mtandao mwingine pia tunaweza tukatuma tu au mpaka kwa tigo pesa pekee?
Hata kwa mtandao mwingine mkuu unaweza kutuma. Ubarikiwe sana!
 
Ofkoz inasikitisha na kuumiza sana
Lakini nadhani hii ni nafasi nzuri kwa wadau wote wamuziki kuonyesha msimamo wao wa umoja kumpiga tough Mabeste haraka

Issue kama hizi ndio utakapo tambua kwamba wasanii hawajaliani kabisa kwenye shida haswa za maradhi, ingekuwa ni birthday yake au harusi yake wakina fela, Luge Chibu nk nk wangeahidi mkwanja mrefu kweli lakini kwenye shida kama hizi wasaniii wakizidiwa wanaacha kusaidiana wanakimbilia kwenye public kutafuta sympathy
 
Ebwana Huyu Mnyamwezi Mimi Namkubali Sana.Ana Ngoma Yake Moja Inaitwa DOLE Video Yake Naikubali Sana.

Istoshe Nampongeza Sana Mnyamwezi Kwa Kuweka Usupastar Pembeni Na Kuweka Afya Ya Mkewe Mbele.Huo Ndo Uanaume Na Inaonesha Anamapenzi Ya Dhati Kwa Mkewe

Wadau Tushikamane Kumpiga Tough Mnyamwezi.Na Mimi Mwenyewe Binafsi Naahidi Kujikuna Mpaka Ntakapofikia

Pole Sana Mnyamwezi Mabeste.Taarifa Imetufikia Na Tupo Pamoja Kwa Hali Na Mali!
 
Back
Top Bottom