Mabeste kwisha habari yake, wazee waombwa kuingilia kati

Hilo jambo la kawaida sana.wanawake wengi hawanaga uvumilivu na mwanamme aliyekwama kiuchumi..unaweza kuta hata hujakwama kihivyo .mi mwenyewe yalishanikuta lakini uzuri wangu huwa Nina roho ya kipekee..nilifuta namba sikuhitaji maongezi nae yeyote .nikamwambia kaa mbali na Mimi.hakuamini maana alotarajia nitaanza kulipigania penzi langu.
Alishangaa namjibu all the best..baada ya hapo nikaendelea na yangu nikiamini baada ya miezi kadhaa nitamsahau.ni kweli now ni miaka miwili simkumbuki na namshukuru Mungu kuachana nae maana now ndio naona ni kiasi gani angeniumiza akili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka mpaka nimepaliwa mkuu, bora kupigiwa na muhuni sio " Tozi " kama huyo jamaa hapo.. Pole Mabeste, na hawa barobaro walivo na sifa, ukiwafatilia anaeza kutumia picha wapo kitandani na demu wako ujinyonge bure..

P.S Kuna mzee mmoja Huwa anasema kila akilewa " The Fall Of Every Great Man, Is A Woman "
Ndio yupi kati ya hao wadada wawili??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo mwamba nasikia ndio alikuwa anamsaidia sana mke wa mabeste kipindi jamaa alipokuwa amechoka seems alikuwa nakula mzigo kitambo tuu na yeye ndio anae somesha watoto wa mabeste daamn it
Dah!...maisha haya...
 
Wanaume kwenye Kikao chao wakimseng'enya Lisa
Ila wao wanayoyafanya hawaoni,pole Mabeste ila sina huruma mwanaume mmoja akiumizwa na kuna wanawake 99 wanapitia haya na zaidi
 
Washenzi Sana Hawa viumbe....

One love
 
Mlevi Ana akili huyo...

One love
 
Kama kuna mwanaume amewahi kuumizwa akaendelea kuumia atakua mjinga
 
Duh ila nae mabeste alizidi uzembe sasa unakuwaje mzembe kumtegemea mwanaume mwenzako alipie bili ya familia?!

Ila still hii haijustify tabia ya mwanamke kuamua kulala na mtu mwingine kwa kisingizio cha mwanaume kutokuwa msaada why hakuwa anamkurupusha jamaa ili akatafute...... Why hakumuelekeza jamaa kuwa anachofanya ni kujidhalilisha kwa familia yake......

Sawa wanaume tunatakiwa kupenda wake na watoto wetu ila ni muhimu kujiimarisha kimaisha zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke utampa mahitaji yote ila still atakulaumu unatumia muda mchache na yeye na muda mwingi upo busy na biashara zako....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke hakosagi sababu anapotaka kufanya maamuzi ya kipuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli kabisa
 
Hivi huyo mke wake mabeste aliponaga ule ugonjwa aliokuwa ana changishiwa kwa mitandao?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…