Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Walimwengu ndio wanatisha
Dunia hii inatisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia hii inatisha
Hilo jambo la kawaida sana.wanawake wengi hawanaga uvumilivu na mwanamme aliyekwama kiuchumi..unaweza kuta hata hujakwama kihivyo .mi mwenyewe yalishanikuta lakini uzuri wangu huwa Nina roho ya kipekee..nilifuta namba sikuhitaji maongezi nae yeyote .nikamwambia kaa mbali na Mimi.hakuamini maana alotarajia nitaanza kulipigania penzi langu.na hapa ndio utazijua kiundani akili za wanawake sasa.
unajua hii bana ilikiwa model couple yangu hii,nilikuwa nafurahi sana kuiona.but ukiangalia kwa umakini mwanamama anatumia muda mwingi sana insta kutuaminisha mambo yako poa upande wake,ila kwa wataalam wa saikolojia tunaona tofauti.
anyway[emoji2211][emoji2211]mjinga atakiwa mabeste akimkrudia.
niliachwa na mwanamke kisa uchumi,nilihisi maisha yangu ndio yamefika mwisho.imagine pesa huna,na mpenzi anakuacha,utaambia nini waatu[emoji1787][emoji1787].
but thank nilijikaza kiume,na hatimaye mhusika japo aliishaolewa anakiri alikosea sana,sijui anakosa nini huko!!!!
Kuninyang'anya demu wangu itakuwa ngumu labda messi ila kama wewe baadae sana.Huyu mwamba kaendelea pale Mabeste alipokwamia, wanasaikolojia waombwa kumuangalia mabeste aachane na uraibu wa sigara na pombe.
View attachment 1449408
huyu jamaa anaoneka fundi wa BJ nigei namba yake!Dogo anaonekana mlamba lips
Dah!...maisha haya...huyo mwamba nasikia ndio alikuwa anamsaidia sana mke wa mabeste kipindi jamaa alipokuwa amechoka seems alikuwa nakula mzigo kitambo tuu na yeye ndio anae somesha watoto wa mabeste daamn it
Ila wao wanayoyafanya hawaoni,pole Mabeste ila sina huruma mwanaume mmoja akiumizwa na kuna wanawake 99 wanapitia haya na zaidiWanaume kwenye Kikao chao wakimseng'enya Lisa
Washenzi Sana Hawa viumbe....Hapa ndipo utaona umuhimu wa kuwa na demu ambaye yupo real.
I never get intimidated by looks but i always focus on the woman's soul! A heartless soul is a recipe to disaster.[emoji18][emoji18][emoji18]
Imagine how low it is, mwanamke unaachana nae kisha anaenda kuzaa na bestfriend wako, seems kwamba alishakuwa nae before na hata kuachana nae ni lengo la kuwafanya wawe free na fishy stuff yao.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mlevi Ana akili huyo...Nimecheka mpaka nimepaliwa mkuu, bora kupigiwa na muhuni sio " Tozi " kama huyo jamaa hapo.. Pole Mabeste, na hawa barobaro walivo na sifa, ukiwafatilia anaeza kutumia picha wapo kitandani na demu wako ujinyonge bure..
P.S Kuna mzee mmoja Huwa anasema kila akilewa " The Fall Of Every Great Man, Is A Woman "
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh ila nae mabeste alizidi uzembe sasa unakuwaje mzembe kumtegemea mwanaume mwenzako alipie bili ya familia?!Best friend na jamaa anamiliki studio ya video so mabeste alikua anafanya naye projects za video zake n.k mabeste vyuma vilikaza so wakienda outing na dogo na bibie bill analipa bwana mdogo, wakikosa nauli anawapa, wakikwama jambo dogo la pesa hakusita kuwasaidia sasa ndiyo hapo bibie akawa anawasilisha matatizo ya ndoa yake kwa huyu dogo bubaa wife akadai talaka akaolewa na dogo.
Mwanamke utampa mahitaji yote ila still atakulaumu unatumia muda mchache na yeye na muda mwingi upo busy na biashara zako....Habari imepostiwa 2015 mwezi wa nane na habari leo,kipindi mke wake mabeste anaumwa na inaonyesha jinsi gani jamaa alivyo pambana kumuuguza mke wake bega kwa bega mpaka akaja kupona.
‘Ugonjwa wa mke wangu umeniweka mbali na muziki’
View attachment 1451293
View attachment 1451294
Ila si wanaume ndio maana tuna miaka michache ya kuishi duniani,yaani jamaa kujitoa kote mwanamke kashindwa kuliona hili.
Mwanamke hakosagi sababu anapotaka kufanya maamuzi ya kipuuzina hapa ndio utazijua kiundani akili za wanawake sasa.
unajua hii bana ilikiwa model couple yangu hii,nilikuwa nafurahi sana kuiona.but ukiangalia kwa umakini mwanamama anatumia muda mwingi sana insta kutuaminisha mambo yako poa upande wake,ila kwa wataalam wa saikolojia tunaona tofauti.
anyway[emoji2211][emoji2211]mjinga atakiwa mabeste akimkrudia.
niliachwa na mwanamke kisa uchumi,nilihisi maisha yangu ndio yamefika mwisho.imagine pesa huna,na mpenzi anakuacha,utaambia nini waatu[emoji1787][emoji1787].
but thank nilijikaza kiume,na hatimaye mhusika japo aliishaolewa anakiri alikosea sana,sijui anakosa nini huko!!!!
ni kweli kabisaDuh ila nae mabeste alizidi uzembe sasa unakuwaje mzembe kumtegemea mwanaume mwenzako alipie bili ya familia?!
Ila still hii haijustify tabia ya mwanamke kuamua kulala na mtu mwingine kwa kisingizio cha mwanaume kutokuwa msaada why hakuwa anamkurupusha jamaa ili akatafute...... Why hakumuelekeza jamaa kuwa anachofanya ni kujidhalilisha kwa familia yake......
Sawa wanaume tunatakiwa kupenda wake na watoto wetu ila ni muhimu kujiimarisha kimaisha zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Security PESAkumbe kuzaa na dem sio security