Mabeste kwisha habari yake, wazee waombwa kuingilia kati

Mabeste kwisha habari yake, wazee waombwa kuingilia kati

na hapa ndio utazijua kiundani akili za wanawake sasa.

unajua hii bana ilikiwa model couple yangu hii,nilikuwa nafurahi sana kuiona.but ukiangalia kwa umakini mwanamama anatumia muda mwingi sana insta kutuaminisha mambo yako poa upande wake,ila kwa wataalam wa saikolojia tunaona tofauti.

anyway[emoji2211][emoji2211]mjinga atakiwa mabeste akimkrudia.
niliachwa na mwanamke kisa uchumi,nilihisi maisha yangu ndio yamefika mwisho.imagine pesa huna,na mpenzi anakuacha,utaambia nini waatu[emoji1787][emoji1787].

but thank nilijikaza kiume,na hatimaye mhusika japo aliishaolewa anakiri alikosea sana,sijui anakosa nini huko!!!!
Hilo jambo la kawaida sana.wanawake wengi hawanaga uvumilivu na mwanamme aliyekwama kiuchumi..unaweza kuta hata hujakwama kihivyo .mi mwenyewe yalishanikuta lakini uzuri wangu huwa Nina roho ya kipekee..nilifuta namba sikuhitaji maongezi nae yeyote .nikamwambia kaa mbali na Mimi.hakuamini maana alotarajia nitaanza kulipigania penzi langu.
Alishangaa namjibu all the best..baada ya hapo nikaendelea na yangu nikiamini baada ya miezi kadhaa nitamsahau.ni kweli now ni miaka miwili simkumbuki na namshukuru Mungu kuachana nae maana now ndio naona ni kiasi gani angeniumiza akili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka mpaka nimepaliwa mkuu, bora kupigiwa na muhuni sio " Tozi " kama huyo jamaa hapo.. Pole Mabeste, na hawa barobaro walivo na sifa, ukiwafatilia anaeza kutumia picha wapo kitandani na demu wako ujinyonge bure..

P.S Kuna mzee mmoja Huwa anasema kila akilewa " The Fall Of Every Great Man, Is A Woman "
Ndio yupi kati ya hao wadada wawili??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo mwamba nasikia ndio alikuwa anamsaidia sana mke wa mabeste kipindi jamaa alipokuwa amechoka seems alikuwa nakula mzigo kitambo tuu na yeye ndio anae somesha watoto wa mabeste daamn it
Dah!...maisha haya...
 
Wanaume kwenye Kikao chao wakimseng'enya Lisa
Ila wao wanayoyafanya hawaoni,pole Mabeste ila sina huruma mwanaume mmoja akiumizwa na kuna wanawake 99 wanapitia haya na zaidi
 
Hapa ndipo utaona umuhimu wa kuwa na demu ambaye yupo real.

I never get intimidated by looks but i always focus on the woman's soul! A heartless soul is a recipe to disaster.[emoji18][emoji18][emoji18]

Imagine how low it is, mwanamke unaachana nae kisha anaenda kuzaa na bestfriend wako, seems kwamba alishakuwa nae before na hata kuachana nae ni lengo la kuwafanya wawe free na fishy stuff yao.
Washenzi Sana Hawa viumbe....

One love
 
Nimecheka mpaka nimepaliwa mkuu, bora kupigiwa na muhuni sio " Tozi " kama huyo jamaa hapo.. Pole Mabeste, na hawa barobaro walivo na sifa, ukiwafatilia anaeza kutumia picha wapo kitandani na demu wako ujinyonge bure..

P.S Kuna mzee mmoja Huwa anasema kila akilewa " The Fall Of Every Great Man, Is A Woman "

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlevi Ana akili huyo...

One love
 
Best friend na jamaa anamiliki studio ya video so mabeste alikua anafanya naye projects za video zake n.k mabeste vyuma vilikaza so wakienda outing na dogo na bibie bill analipa bwana mdogo, wakikosa nauli anawapa, wakikwama jambo dogo la pesa hakusita kuwasaidia sasa ndiyo hapo bibie akawa anawasilisha matatizo ya ndoa yake kwa huyu dogo bubaa wife akadai talaka akaolewa na dogo.
Duh ila nae mabeste alizidi uzembe sasa unakuwaje mzembe kumtegemea mwanaume mwenzako alipie bili ya familia?!

Ila still hii haijustify tabia ya mwanamke kuamua kulala na mtu mwingine kwa kisingizio cha mwanaume kutokuwa msaada why hakuwa anamkurupusha jamaa ili akatafute...... Why hakumuelekeza jamaa kuwa anachofanya ni kujidhalilisha kwa familia yake......

Sawa wanaume tunatakiwa kupenda wake na watoto wetu ila ni muhimu kujiimarisha kimaisha zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari imepostiwa 2015 mwezi wa nane na habari leo,kipindi mke wake mabeste anaumwa na inaonyesha jinsi gani jamaa alivyo pambana kumuuguza mke wake bega kwa bega mpaka akaja kupona.
‘Ugonjwa wa mke wangu umeniweka mbali na muziki’
View attachment 1451293
View attachment 1451294
Ila si wanaume ndio maana tuna miaka michache ya kuishi duniani,yaani jamaa kujitoa kote mwanamke kashindwa kuliona hili.
Mwanamke utampa mahitaji yote ila still atakulaumu unatumia muda mchache na yeye na muda mwingi upo busy na biashara zako....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na hapa ndio utazijua kiundani akili za wanawake sasa.

unajua hii bana ilikiwa model couple yangu hii,nilikuwa nafurahi sana kuiona.but ukiangalia kwa umakini mwanamama anatumia muda mwingi sana insta kutuaminisha mambo yako poa upande wake,ila kwa wataalam wa saikolojia tunaona tofauti.

anyway[emoji2211][emoji2211]mjinga atakiwa mabeste akimkrudia.
niliachwa na mwanamke kisa uchumi,nilihisi maisha yangu ndio yamefika mwisho.imagine pesa huna,na mpenzi anakuacha,utaambia nini waatu[emoji1787][emoji1787].

but thank nilijikaza kiume,na hatimaye mhusika japo aliishaolewa anakiri alikosea sana,sijui anakosa nini huko!!!!
Mwanamke hakosagi sababu anapotaka kufanya maamuzi ya kipuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh ila nae mabeste alizidi uzembe sasa unakuwaje mzembe kumtegemea mwanaume mwenzako alipie bili ya familia?!

Ila still hii haijustify tabia ya mwanamke kuamua kulala na mtu mwingine kwa kisingizio cha mwanaume kutokuwa msaada why hakuwa anamkurupusha jamaa ili akatafute...... Why hakumuelekeza jamaa kuwa anachofanya ni kujidhalilisha kwa familia yake......

Sawa wanaume tunatakiwa kupenda wake na watoto wetu ila ni muhimu kujiimarisha kimaisha zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli kabisa
 
Hivi huyo mke wake mabeste aliponaga ule ugonjwa aliokuwa ana changishiwa kwa mitandao?!
 
Back
Top Bottom