Mabeste kwisha habari yake, wazee waombwa kuingilia kati

Mabeste kwisha habari yake, wazee waombwa kuingilia kati

Huyu mwamba kaendelea pale Mabeste alipokwamia, wanasaikolojia waombwa kumuangalia mabeste aachane na uraibu wa sigara na pombe.
View attachment 1449408
jamani hakuna aliemtambua huyu dogo! Anaitwa Frank mhina kwao sanawari arusha, nazani ni was 95 ama 6, sidhani Kama Anawezaichukua nafasi ya mabeste hata Kama Dem kamuacha, kweli wanawake ni konyo
 
Back
Top Bottom