Mabeste kwisha habari yake, wazee waombwa kuingilia kati

Mabeste kwisha habari yake, wazee waombwa kuingilia kati

Ila mabeste shda imekuja baada ya
Mkewe kumuacha

Nkikumbuka jamaa alvokua
Anahangaika na mkewe ili apone
Alaf kaja kumtenda hiv?? Aiseee

Wanawake naonaga tu n kama
Punda,(shukran ya punda n mateke)

stidy
Life is a mofo. Alihustle sana kipindi kile Mabeste afu anaachika kizembe tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo utaona umuhimu wa kuwa na demu ambaye yupo real.

I never get intimidated by looks but i always focus on the woman's soul! A heartless soul is a recipe to disaster.😌😌😌

Imagine how low it is, mwanamke unaachana nae kisha anaenda kuzaa na bestfriend wako, seems kwamba alishakuwa nae before na hata kuachana nae ni lengo la kuwafanya wawe free na fishy stuff yao.
 
Moja ya miiko ya ubinadamu ni kumuumiza mwingine hisia bila ya kumpa nafasi ya kujitetea.

Huyo mabeste amekubali kuumia na sasa anableed damu ndani kwa ndani kwa maumivu anayoyasikia. Hivi unadhani kuna usalama hapo?! Umuumize mwenzako kwasababu za kibinafsi then uje kuwa na baraka huko uendako.... Nooo way. MUNGU yupo na anatoa haki.

Kama yeye aliona ni haki kumuacha mwanaume aliyejiapiza kumpenda na wakapata watoto pamoja leo anamtreat kama takataka then tutaona labda jina lake la mwisho liwe MUNGU.....


Mabeste jembe langu, popote ulipo, uvumilia maumivu jembe, najua umeumia kuona mwanamke aliyejinasibu kukupenda milele hata iweje na mkapata watoto wawili wazuri sana, kaamua kukatisha safari ya penzi lenu na kwenda anzisha safari mpya na mtu mwingine tu kwasababu haupo vizuri kiuchumi kwasasa, na mbaya zaidi ni mtu anaekufahamu na mnajuana na pengine anajua historia ya mahusiano yenu. Na leo kukutukana kabisa anakupostia picha ya mtoto aliyezaa nae katika tumbo la uzazi lile lile alilobebea watoto wako. Inauma sana....

Mimi personally kama mwanaume nimeumia sana kuona kichotokea aisee inauma sana.... Pole sana jembe.... Ipo siku haki yako itakufikia....... Maumivu huwa hayadumu ingawa ni makali. Jikaze bro.... Jikazee sana usikate tamaa.... Tunaumia pamoja... Na ninafeel maumivu yako.... Pole sana jembe langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi washkaji wa hivyo wananiudhi kishenzi yaani. Wanajifanya kuonyesha mapenzi kwa wake za watu ili wawalale waachane.

Nawaitaga masela mavi

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa najiuliza ina maana huyu dogo, miaka yote anashindwa tafuta manzi mpya hadi anaenda kuoa demu anawatoto wawili....?! Na ametengana na mwanaume wake wa ndoa kwa sasababu za kipuuzi....?!

Kama anamuacha mume wake aliyezaa nae watoto wawili kuja kuwa na wewe, una uhakika gani mtadumu na anakupenda kutoka moyoni?!

Aiseee wanawake sio watu........ Kama huyu inaelekea hajui laana ya mume...... Mtu anaumia kwaajrii yako, katu hautakuwa na future nzuri huko uendako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom