Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam, leo tarehe 11/06/2024.
MABEYO (CDF MSTAAFU): Vijana wanakosa mwelekeo, tunajenga hofu kwa taifa la kesho
Jenerali Venance Mabeyo (Mstaafu) akizunguza kwa niaba ya Wenyeviti wa Bodi amesema kuna umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii na na kuishi katika maoni ya Serikali kwa kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi ili kutengeneza njia nzuri kwa Taifa.
Amesema hayo wakati wa kukabidhi gawio na michango kwa Rais Samia Suluhu kutoka katika mashirika na Taasisi za Umma Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Juni 11, 2024.
View attachment 3014583
View attachment 3014584
Viongozi wa Serikali, Wakuu wa Mashirika na Taasisi za umma pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2024.
View attachment 3014586
View attachment 3014587
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 202
Hui nchi imekosa viongozi, yaani inafanyika sherehe ya kupokea gawio badala ya kuliweka hazina na maisha yakaendelea! Tunahitaji katiba mpya ili tupate viongozi wenye akili