MABEYO (CDF MSTAAFU): Vijana wanakosa mwelekeo, tunajenga hofu kwa taifa la kesho (Juni 11, 2024)

Hui nchi imekosa viongozi, yaani inafanyika sherehe ya kupokea gawio badala ya kuliweka hazina na maisha yakaendelea! Tunahitaji katiba mpya ili tupate viongozi wenye akili
 
Mkuu wa Majeshi mstaafu General Mabeyo ametoa angalizo Kuwa Ukosefu wa ajira kwa vijana unaleta hofu kwa Taifa la Kesho

Naamini Waziri wa uchumi Prof Kitila atakuwa amemuelewa vema

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
 
Alipokuwa akipewa Magufuli, wajinga na wapumbavu walisema ni uwongo

Leo watasemaje? Ngoja tuone!
Huo ni usanii kama usanii mwingine, washauri wa rais inaonekana wengi ni masalia ya Magufuli, hivyo wanamshauri atumie propaganda za kimagufuli wakiamini atateka akili za watu. Cha ajabu Magufuli alifanya mbwembwe zote hizo, lakini akaishia kupora uchaguzi!
 
Mkuu wa Majeshi mstaafu General Mabeyo ametoa angalizo Kuwa Ukosefu wa ajira kwa vijana unaleta hofu kwa Taifa la Kesho

Naamini Waziri wa uchumi Prof Kitila atakuwa amemuelewa vema

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
Ana suluhisho la Nini kifanyike, au na yeye anapiga siasa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…