Mabeyo kazawadiwa hii ndinga. Tafakari!

Mabeyo kazawadiwa hii ndinga. Tafakari!

Nchi hii wanafaidi watu wachache sana.
Acha kabisa Mkuu 🤔miaka hyo tulikuwa na jirani yetu mmoja maeneo ya Tabata segerea
alikuwa mstaafu mwenye cheo kikubwa JKT ,
Yaani ilikuwa kila mwezi mahitaji yote muhimu yatupasayo kuyapata wanadamu alipata,
Michele Unga mafuta ya kula ,mbogamboga na mazagazaga kama yote ,makreti ya Soda,Bia asee nahisi hata mshahara alikuwa anapewa na full ulinzi nyumbani kwake,
Hakika maisha kwake yalikuwa mazuri haswa
 
Anapendelea kupitia mitaa gani tuvizie lift...maana ukipanda humo hata kama ulikuwa na tumbo la kuhara litapoa lenyewe.
Jirani yangu huyo ana nyumba yake huku segerea sheli na jina la barabara kapewa akiwa anaigia na kutoka utaskia ving'ora tu mtaa mzima

Usiku unapishana na wajeda tu wamebeba mitutu wanapiga doria huku usalama wa kutosha karibu mkuu uvizie lifti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matumizi mabaya ya kodi zetu. Kwa staili hii Rushwa na wizi hautaweza kuisha sababu waliopo juu wamejisahau sana wanaishi kifalme kwa gharama ya watendaji wa chini na raia.

Halafu wanakuja kamata watendaji wa halimashauri kwa kosa la kukwiba bilioni 4 na kugawana mgao wa hela kidogo kidogo.
 
Back
Top Bottom