Anayejua kilichomuua muhutu ni Mungu na huyu aliyepewa v8 leoNkurunzinza alitaka kuondoka na kama haya 70 ila covid ikafanya yake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayejua kilichomuua muhutu ni Mungu na huyu aliyepewa v8 leoNkurunzinza alitaka kuondoka na kama haya 70 ila covid ikafanya yake...
Mkuu ile gari kwa tz naona yeye atakuwa ndio wa kwanza kulitumia
You can imagine, hayo yalikuwa ni miongoni mwa masurufu ya kuachia ngazi......viongozi wa kiafrika ni kima waliochangamka aisee.Alitaka akayafanyie nini sasa, watu hawaridhiki
No way ndio mkuu wa majeshi anajuwa siri za taifa na usipo mtunza unalimaliza Taifa. Wacha ale mema ya nchi.Ni landcruiser mpyaa,
0km 300 series
Tafakari wewe hapo ulipo kazini kwako ukistaafu utaondoka na kitu gani? View attachment 2291887
Ivi izi zinauzwa sh ngap?Ni landcruiser mpyaa,
0km 300 series
Tafakari wewe hapo ulipo kazini kwako ukistaafu utaondoka na kitu gani? View attachment 2291887
Tuanze na wewe mkuu.Ni landcruiser mpyaa,
0km 300 series
Tafakari wewe hapo ulipo kazini kwako ukistaafu utaondoka na kitu gani? View attachment 2291887
Sio J ni L300Jeez J300 2020 hiyo.
Kwa nini ulie kwa sababu ya mafanikio ya mwenzio?[emoji23] [emoji23] Mkuu ukitafakari sana unaweza kulia
Nilale hzi ela siwez kuwa nazo labda niuz viungo vyote vya mwiliKabla ya kodi ni
GX $89,000
GXL $101,000
VX $113,000
SAHARA $131,000
Mabayo kapewa vx
Hela ndogo sana hiyoNilale hzi ela siwez kuwa nazo labda niuz viungo vyote vya mwili
200m+Hela ndogo sana hiyo
Halafu aambiwe kapiga picha kifaa cha jeshi?Kwanini usingetuonesha alilopewa maana ye kapewa jeusi
Ndogo ndio kama hujafika miaka 40 pambana unaweza kuipata hata hujafika miaka 59200m+
Nimecheka kwa sautiHalafu aambiwe kapiga picha kifaa cha jeshi?
Labda kwa uloziNdogo ndio kama hujafika miaka 40 pambana unaweza kuipata hata hujafika miaka 59