Mabeyo kazawadiwa hii ndinga. Tafakari!

Mabeyo kazawadiwa hii ndinga. Tafakari!

Mkuu ile gari kwa tz naona yeye atakuwa ndio wa kwanza kulitumia

Labda lkn siyo wa mwisho, mimi najua Wanajeshi mabosi kitaa walipostaafu wanakuwa na Toyota Landcruiser mpya kabisa sasa huyo ni Mkuu wao, kwa Mkuu wa Jeshi hiyo siyo big deal kabisa kwanza bado atalindwa na Jeshi pamoja na dereva na Gari ya Serikali pia, …
 
[emoji23] [emoji23] Mkuu ukitafakari sana unaweza kulia
Kwa nini ulie kwa sababu ya mafanikio ya mwenzio?
Akikusimulia safari yake kabla, wakati na baada ya utumishi unaweza ukalia. Kila mmoja ana safari yake ambayo Mungu anampitisha hadi kufikia mwisho wa maisha. Tupunguze wivu kwa wanaofanikiwa, zaidi sana tuwaombee
 
Back
Top Bottom