HapanaLabda kwa ulozi
Mkuu ile gari kwa tz naona yeye atakuwa ndio wa kwanza kulitumia
[emoji23] Umenena mkuu!
Nadhani huyu ana siri kubwa sana hata ya kifo cha kipenzi chetu
Anastahili! Tuache wivu!Ni landcruiser mpyaa,
0km 300 series
Tafakari wewe hapo ulipo kazini kwako ukistaafu utaondoka na kitu gani? View attachment 2291887
buku 7Ivi izi zinauzwa sh ngap?
Acha kabisa Mkuu 🤔miaka hyo tulikuwa na jirani yetu mmoja maeneo ya Tabata segereaNchi hii wanafaidi watu wachache sana.
acha kujihamiChadema watakuja na ujinga hapa
Ilikuwa CDF nafanyaje 😄😄Ata ivo anajaziwa zutu bure hadi kufa, CDF cheo kikubwa sana
Halafu utabaki na nini mkuuNilale hzi ela siwez kuwa nazo labda niuz viungo vyote vya mwili
Jirani yangu huyo ana nyumba yake huku segerea sheli na jina la barabara kapewa akiwa anaigia na kutoka utaskia ving'ora tu mtaa mzimaAnapendelea kupitia mitaa gani tuvizie lift...maana ukipanda humo hata kama ulikuwa na tumbo la kuhara litapoa lenyewe.
Hapana sio kweli, kuna watu tayari wanazimiliki tokea mwaka jana...hio itakua kama gari ya 6 hiviMkuu ile gari kwa tz naona yeye atakuwa ndio wa kwanza kulitumia
Inabidi apewe na mjengo wa heshima,anastahili,Richa ya kwamba nchi yetu ni maskini,lakini kwa cheo chake,hiyo ndinga ni haki yake.Ni landcruiser mpyaa,
0km 300 series
Tafakari wewe hapo ulipo kazini kwako ukistaafu utaondoka na kitu gani? View attachment 2291887
Hii nchi tajiri aisee!
Ila kwa wachache.