Mabeyo wewe ni Mtanganyika kabla kuwa Mtanzania

Mabeyo wewe ni Mtanganyika kabla kuwa Mtanzania

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Loliondo FM
  1. Loliondo FM
  2. Habari za Jumla
  3. Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi

Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi​

7 May 2024, 11:17 am
fb-img-1714983835208.jpg
Mwenyekiti wa bodi yawakurugenzi NCAA katikati jenerali Venance Mabeyo wakati wa ukagunzi wa ujenzi wa jingo la NCAA Karatu, picha na mpiga picha.
Katika jitihada za serikali za kuhakikisha eneo la hifadhi ya Ngorongoro libaki wazi kupisha shughuli za uhifadhi,mamlaka ya hifadhi hiyo NCAA wapo katika hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa makao makuu yao wilaya ya Karatu mkoani Arusha.
Na Mwandishi wetu.
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya hifadhi ya Ngorongoro NCAA Jenerali Venance Mabeyo (mstaafu) amesema wameridhishwa na ujenzi wa jengo la NCAA ambalo litakuwa makao makuu ya hifadhi hiyo.
Mabeyo ameyasema hayo baada ya kutembelea jengo hilo kabla ya kuanza kwa kikao cha bodi ya wakurugenzi NCAA kilichofanyika wilayani Karatu mkoani Arusha.
Amesema eneo la hifadhi linapaswa kubaki wazi kupisha shughuli za uhifadhi ndio maana tayari baadhi ya wananchi tayari wameamia maeneo mengine hapa nchini.


Sauti ya Venance Mabeyo
Jengo hilo la makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro kwa mujibu wa Mabeyo linategemewa kukamilika mwishoni mwa mwezi Juni 2024.

Mabeyo Mtanganyika ana shughulikia wamasai Watanganyika wenzake kwa kushirikiana na Wazanzibar [ Samia, Mchengerwa, Masauni ]

Kweli nimeamini kwa vipande vya fedha, nguo na vioo waafrika walishirikiana na wazungu na waarabu kuuza waafrika wenzao.
 
Libaki wazi kwa uhifafhi huku tunasikia Kuna wageni wamekabidhiwa kwa shughuli za uwindaji kulikoni?
 
Back
Top Bottom