Mabibi na uleaji mbaya wa wajukuu

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Hata maandiko yanasema "usimnyime mtoto wako mapigo maana ukimpiga hatakufa,utampiga kwa fimbo na kumwokoa nafsi yake na kuzimu.

Mithali 23:13-14
Hujajibu swali. Maandiko ni abstract. Nionyeshee tafiti za kisayansi zinazonyesha kwamba mtoto akipigwa anakuwa na adabu au tabia nzuri.
 
Na kwa nini bibi alee wajukuu, si alishamaliza kazi ya kukulea? Unampelekea mama/baba alee wajukuu unategemea awalee kweli wakati yeye ameshachoka?

Binafsi siafiki kulelewa wanangu na wazazi wangu, alishamaliza kazi yao kutulea sisi.
Kuna muda unakutana na situation inayokufanya upeleke mtoto kwa Bibi..au haujawahi kutana nayo?
 
Wakina bibi wanaupendo wa ajabu kwa wajukuu zao nakumbuka kipindi nipo mdogo pale Masaki kwa bibi tulikua tunalelewa kizungu sana tofauti na tukiwa home....


Nimecomment nikiwa upande wa ujukuu mana mtoto sina
Ila upendo wao maranyingi mwisho wake hua mbaya
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…