Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Kwa hiyo akichapwa, mtoto ndiyo anakuwa na tabia nzuri?Wabibi wengi wakikaa na wajukuu lazima wajukuu wawe na tabia mbaya kwa kuwa hawachapwi wala hawakemewi.Mtoto yoyote bila kukemewa lazima awe na tabia mbaya