Mabibi na uleaji mbaya wa wajukuu

Mabibi na uleaji mbaya wa wajukuu

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Hata maandiko yanasema "usimnyime mtoto wako mapigo maana ukimpiga hatakufa,utampiga kwa fimbo na kumwokoa nafsi yake na kuzimu.

Mithali 23:13-14
Hujajibu swali. Maandiko ni abstract. Nionyeshee tafiti za kisayansi zinazonyesha kwamba mtoto akipigwa anakuwa na adabu au tabia nzuri.
 
Na kwa nini bibi alee wajukuu, si alishamaliza kazi ya kukulea? Unampelekea mama/baba alee wajukuu unategemea awalee kweli wakati yeye ameshachoka?

Binafsi siafiki kulelewa wanangu na wazazi wangu, alishamaliza kazi yao kutulea sisi.
Kuna muda unakutana na situation inayokufanya upeleke mtoto kwa Bibi..au haujawahi kutana nayo?
 
Wakina bibi wanaupendo wa ajabu kwa wajukuu zao nakumbuka kipindi nipo mdogo pale Masaki kwa bibi tulikua tunalelewa kizungu sana tofauti na tukiwa home....


Nimecomment nikiwa upande wa ujukuu mana mtoto sina
Ila upendo wao maranyingi mwisho wake hua mbaya
 
Haiwezekani shem wewe eti utotoni mwako ndo uwe umecheza gemu la nyoka(snake xenzie)means utoto wako ulikua kweny miaka ya 2004 na kuendelea wakati huo sisi wengine tumeshakuwa wahenga wa muda mrefu tu...

Na haiwezekani eti wewe ulelewe kizungu na bibi wakati wengine maisha ya uzungu tumeyaanzisha sisi kwa wajukuu zetu.
Wakati hiyo 2004 ndio wewe unazaliwa
Shemu ntakuja na kauli mbiu ya
"DAVET ONESHA CHETI CHA KUZALIWA"
 
Back
Top Bottom