loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Baada ya bilionea mstaarabu wa Katoro Kahama Sylvester Buyamba na wenzake kuvunja Internet kwenye send off ya kufukuru na kutetemesha mitandao ya kijamii Africa mashariki, kati, kusini hadi magharibi huko, nakuwashikisha adabu mabilionea uchwara wa Dar nao eti wamewajibu kwa style ya ajabu na ya kisoro.
Bilionea mshamba aliyeshika hela ukubwani mzee wa madungu jeshi ama mlevi wa taifa naye kawajibu mabilionea wa Katoro kwa kutupia video akioga kwenye bathtub akiwa amevaa nguo huku akinywa bia kilimanjaro ya kopo.
adriz de mbusii