MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Nasikitika nilichogundua Ugumu wa maisha siyo kwa wote
Kuna wengine kama wale wanawekewa mafuta kwenye gari serikali ,wanaletewa vyakula nyumbani na serikali
watoto wanasomeshwa na serikali ,hawa wakisikia mafuta kupanda bei wanaona kama hadithi tu.
Nchi isingepitiwa na bahari hii ingekuwa kama jehanamu,bilioni za ruzuku bora zingefanya kazii maana,watu wameongea mpaka wamechoka mwarobaini wa tatizo hili siyo ruzuku lakini kimya,tunasubiria nguvu ya UMMA ipaze sauti