Mabilioni ya shilingi yamwagwa kujenga barabara Kigoma

Dah huu Mkoa waukumbuke tu.
Mwaka juzi nilienda huko ni tabu tupu, yaan kutoka kigoma mpaka Kasulu ni vurugu tupu, iwe kiangazi iwe masika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mjuzi wa hii barabara ila ndio inayounganisha mkoa wa kigoma na jiji LA Mwanza Kwa njia ya Lami kupitia nyakanazi? Sababu navyojua hiyo bara bara ilikuwa na mkandarasi tayari, au ni nyingine?

Nyanza Road ways co. Ltd miaka nenda rudi.

Kampuni ya wenyewe.
 
Yote haya yananikumbusha maneno ya mbunge wa KILWA..Mr. Bwege... alisema, nanukuu.... 'CCM TUNAWAJUA, WATABANAA LAKINI KULEE MWISHOOOONIIIII WATAACHIA'... mwisho wa kunukuu
 
Wawalipe.thatha thio kama wale wa mikoa mingine miradi imethimama

Don't make a promise you can't fulfill...
 
akili za kijinga sana hizi. Yaani kila mradi wanajenga wageni wakati vijana wetu hawana kazi, why?

Nchi zote duniani zinategemeana kwa kazi Mkuu
Wazawa wana fursa pia ya kupata kazi katika kazi hizo
Hata Ulaya pia sio kila kitu wanafanya wao mengine mengi yanafanywa na kampuni za nje

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hapo sawa jambo jema,mambo ya kutapakanya fedha zetu kwenye biashara kichaa ya midirimulaina na mibombadiyee hatutaki.
 
Sio mjuzi wa hii barabara ila ndio inayounganisha mkoa wa kigoma na jiji LA Mwanza Kwa njia ya Lami kupitia nyakanazi? Sababu navyojua hiyo bara bara ilikuwa na mkandarasi tayari, au ni nyingine?
Ninatamani sana pangekuwa na ramani za barabara hizi, lakini sijui kwa nini hilo huwa ni gumu kulifanya!
 
Zitto lazima atapinga mradi huu!

siwezi kupinga kwa sababu ni moja ya miradi nimepigia kelele maisha yangu yote ya Ubunge na ipo kwenye ilani ya ACT mwaka 2015 na pia African Development Bank niliwasumbua sana kuhusu Mradi huu.
Wala Mradi huu hautakuwa sababu ya watu wa Kigoma kuipa kura CCM kwani sio hisani bali ni Haki yetu
 
ZITO, Ninachochua nikuwa Barabara na madaraj ni maendeleo ya Vitu amabvyo upinzani na baadhi wa wnaccm wanataka maendeleo ya watu. Kwani ni leo unasupport maendelo ya vitu kama Barabara na madaraja au kwa kuwa yanajengwa kwenda Kigoma il yakijengwa pengine inakuwa siyo maendeleo ya watu. Hebu dadavua

Sio mjuzi wa hii barabara ila ndio inayounganisha mkoa wa kigoma na jiji LA Mwanza Kwa njia ya Lami kupitia nyakanazi? Sababu navyojua hiyo bara bara ilikuwa na mkandarasi tayari, au ni nyingine?
Zana Za Kilimo aliitisha wazee wake ili mradi usifanikiwe , na akishindwa kwa njia za asili ataandika barua kwa "Mabeberu"
 
Hii ndiyo faida ya wananchi kuwa na utayari na uthubutu wa kuchagua na kuishi na "strong opposition parties". Katika maeneo hayo chama tawala kinakosa namna zaidi ya kuanza kuwekeza miradi mikubwa ya maendeleo ili kuwafanya wavutiwe na sera zao.

Maeneo mengi ambayo upinzani ni dhaifu huishia tu kuyasikia ktk vyombo vya habari maendeleo kama haya. Kupanga ni kuchagua, kwa hiyo kazi ni kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mjuzi wa hii barabara ila ndio inayounganisha mkoa wa kigoma na jiji LA Mwanza Kwa njia ya Lami kupitia nyakanazi? Sababu navyojua hiyo bara bara ilikuwa na mkandarasi tayari, au ni nyingine?
Hiyo nyingine
 
Wewe zitto kweli unatabia za umaraya maraya , juzi hapa umepinga tanzania tusipewe mkopo! Umaraya wa kupiga kelele ili serikari ya ccm ipewe huu mkopo wa kujenga hii barabara ulitoka wapi.
Nyie wa tatu mmejimariza wenyewe! Mwenzio Tundulisu anatafutwa na mahakama aje ale mshono!
Mbowee nae chama kina mfia , umesikia makatibu wa kanda alochagua leo! Ni dariri ya chama kufa
Wewe nawe ulishanyea kambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…