Mabilioni ya Urusi yaliyotaifishwa kupelekwa Ukraine, yaani $300 billions

Huyo anayeogopwa mbona hatii mguu kama alivyotia Syria, Libya, iraq nk nk?

Mmechukua au mpo ktkt mkakati wa kisheria kujimilikisha baabda ya kuishiwa feda za kufadhiri vita ya Ukraine matokeo ya chumi zenu kuanguka

Aliogopwa mpaka wakamuomba Zelensky aihame nchi ila akakomaa na kugeuza kibao, kwa sasa hivi Urusi inapelekewa moto na kataifa yaani kiasi kwamba hamna sababu hata ya taifa lingine kusaidia kitu, juzi hadi imeanza kusema italazimika kutumia nyuklia.
Hata hivyo hela zinachukuliwa na zimechukuliwa nyingi tu, labda waarabu wenu wamsaidie na hela.
 
point yangu !! huu muda unaotumia kushopokea western ungeutumia katka kupigania masilahi ya nchi zako za africa, na injustice na racial segregation zinazoendelea,,, na vita zilizopo africa zinazochochewa na hao mabwana zako wa ulaya

Maslahi yangu yapo salama sina haja ya kuyapigania, kwa sasa Urusi apokee kichapo maana ndiye alikua anasaidia sana yale magaidi yenu.
 
Mali ya babu jinga wacha iteketee, Na zile silaha zilizokwapuliwa Iran nazo pia zinaenda kuwatengeneza hao hao ndugu zao wa damu russia
 
Nchi moja imepambana na nchi 30 ukijumlisha na NATO. Na nchi zote 30 kuishiwa silaha na fedha usifikii ni jambo la mchezo. Mwamba Putin ni dude moja kubwa sana na halitakuja kusahaurika kwenye historia ya dunia
 
Nchi moja imepambana na nchi 30 ukijumlisha na NATO. Na nchi zote 30 kuishiwa silaha na fedha usifikii ni jambo la mchezo. Mwamba Putin ni dude moja kubwa sana na halitakuja kusahaurika kwenye historia ya dunia

Heheheehe ona mnafarijiana huko, mwambieni huyo mtume wenu avamie kainchi kamoja ka NATO ndio uone akifutika, yaani hapo kainchi jirani kamemshinda mpaka leo anafukuziwa na kutema ardhi licha ya kutumia nguvu zake zote kasoro manyuklia tu.
Ni aibu sana....

 
Pesa ya Mrusi kila anaye ichukua itamtokea puani Mrusi huwa hasamehe
 
Unaonaje umshauri Putin wachape hao mashoga? 😂😂
Mpaka muda huu wanachapwa balaa...!!!Kuunguza vifaa vya kivita zaidi ya elfu 5, chukulia vifaa vya hawa wenzetu huwa ghali sana, ni fimbo hasa.
 
Pole sana
 
Pole sana

Ungenipa pole siku za ule msafara mliokua mumetuaminisha ndio kiama kwa Ukraine, niwe mkweli nilikua mojawapo wa tuliokua tunakosa usingizi, ila kwa namna ulifyekwa na wabeba javelin, yaani Mrusi katumia mbinu za WWII kwa dunia ya leo...




 
Hilo sio rahisi kama unavyolichukulia maana hata Russia ana assets zao nyingi tu, kingine Putin alisema wame earn 2x ya frozen assets.
 

Attachments

  • IMG_2756.jpeg
    101.1 KB · Views: 1
Sema watu weusi tunashida kubwa sana
 
Hayo mataifa umetaja hapo yalijiharibu kwa mizuka ya kijinga ya dini ya mwarabu, ila kwenye huu ugomvi Urusi imeikuta nchi ya watu na kuiba ardhi na kusambaratisha makazi ya watu, lazima hela zao zitaifishwe.
Sjui hata una Elimu gani
 
Hapo sasa sawa, maana Ukraine atakuwa na pesa kununua Silaha zingine kutoka magharibi. Russia na China lazima wafungwe speed governor. Na zile bunduki na risasi za Irani zipelekwe pia Ukraine. Wakitaka askari waje tuwape UVCC wapelekwe huko pia.
 
"Sema lazima ziibiwe..." Hata hivyo, nakutahadharisha Russia akiamua jambo lake hatanii!!! Jana katoa maelezo yayojitosheleza nakushauri uyapitie kwa utulivu, Utapata ujumbe ninaojaribu kukufikishia hapa.
Urusi ni jibwa kibogoyo huo ujumbe unakuhusu wewe tu sio mabeberu.

Beberu halitishwi na jumbe za urusi coz linamambo mengi ya kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…