Aiba
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 2,047
- 3,912
Hatuongei sisi ila BBC wenyewe walisema Russia kashikilia pesa nyingi sana za makampuni ya ulaya na marekani ndiyo maana huoni akilalama sanaUrusi ni jibwa kibogoyo huo ujumbe unakuhusu wewe tu sio mabeberu.
Beberu halitishwi na jumbe za urusi coz linamambo mengi ya kufanya.