Mabilioni ya Urusi yaliyotaifishwa kupelekwa Ukraine, yaani $300 billions

Urusi ni jibwa kibogoyo huo ujumbe unakuhusu wewe tu sio mabeberu.

Beberu halitishwi na jumbe za urusi coz linamambo mengi ya kufanya.
Hatuongei sisi ila BBC wenyewe walisema Russia kashikilia pesa nyingi sana za makampuni ya ulaya na marekani ndiyo maana huoni akilalama sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…